DC SAME AMEISHUKURU WIZARA YA AFYA NA TAMISEMI KWA KURATIBU, KUSIMAMIA UTOAJI WA CHANJO...
Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe. Kasilda Mgeni ameishukuru Wizara ya Afya na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za...
NCAA YASEMA HAKUNA MWANANCHI ATAKAYEPATA NYUMBA KINYUME NA UTARATIBU.
NA Mwandishi wetu, Karatu.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kwamba ipo makini kuhakikisha kuwa kila kaya inayojiandikisha kuhama kwa hiyari ndani ya hifadhi...
NCAA YATOA ELIMU KWA WANAOTAKA KUHAMA KWA HIYARI NDANI YA HIFADHI.
Na Mwandishi wetu.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeendelea kuwaelimisha wananchi wanaojiandikisha kuhama kwa hiyari kutumia fidia wanazopata kwa kufanya shughuli za maendeleo ili...
MABINGWA 56 WADONDOSHEWA BATA LA KUFA MTU MTOKO WA KIBINGWA NA BETIKA
MABINGWA wa Promosheni Kubwa ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 waandika historia wakongwa nyoyo kwa burudani ya aina yake zakiem na Kushuhudia derby...
MWENYEKITI WA KAMATI YA NISHATI NA MADINI DAVID MATHAYO AMEMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU KUTOA...
Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi, Dkt. David Mathayo David, Ambaye pia Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya bunge ya nishati...
WAZIRI DKT. GWAJIMA AIKARIBISHA MEWATA KUSHIRIKIANA NA WIZARA
Na WMJJWM, Dar Es Salaam
Serikali imetoa wito kwa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania, MEWATA kufanya kazi kwa pamoja kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii,...
IMEBAKI HISTORIA CHANGAMOTO YA MAJI GAIRO
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Godfrey Mzanva amewaagiza Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wanapata hati miliki...
MAWAKALA WA TIGO PESA NCHI NZIMA WAPEWA SEMINA KUJIEPUSHA NA MATAPELI
Na Mwandishi Wetu.
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo Tanzania imekutana na baadhi ya mawakala wake kutoka mikoa mbalimbali nchini Kwa...
KIBOKO PAINTS WAJA NA WALL PUTTY , YAWAVUTIA MAFUNDI SOMA HAPA UPEKEE WAKE
.
Baadhi ya Mafundi kutoka maeneo ya Mbezi , Goba , Malamba Mawili na Kinyerezi katika semina iliyoandaliwa na kampuni ya Uuzaji wa Vifaa vya...
MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI 19.9 KUPITIWA NA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MOROGORO
Jumla ya miradi 70 yenye thamani ya shilingi bilioni 19.9 itapitiwa na mbio za mwenge ambapo miradi 18 itawekewa mawe ya msingi, 11 itafunguliwa,18...













