Home 2023
Yearly Archives: 2023
NDUNGURU: UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI UMEKUA KWA KASI
-Asisitiza uwepo wa fursa nyingi za uwekezaji
-Katibu Mkuu Mahimbali aahidi kuyaenzi mazuri ya Ndunguru
Dodoma
Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali...
TMFD YABAINI CHANGAMOTO KWA WAVUVI KUTOKUWA NA ELIMU YA KUJILINDA ZIWANI
Mkurugenzi wa shirika la Tanzania Media for Maritime and Fisheries Development Bwana Edwin Soko ametembelea mwalo wa Muswahili uliopo Jijini Mwanza eneo la Mkuyuni...
BAKWATA MWANZA WAFANYA MAANDAMANO YA KUPINGA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania ( Bakwata ) Mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili...
Makamu wa Rais ametoa wito kwa Jumuiya za Kimataifa kuendelea kuunga mkono Mataifa yanayoendelea
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameshiriki katika mjadala uliobeba ajenda ya Uwekezaji kwa Watu Wote Pasipo Ubaguzi...
WIZARA YA FEDHA YAKERWA NA UPOTOSHAJI MITANDAONI
Wizara ya Fedha na Mipango imekanusha taarifa ya uzushi na upotoshaji iliyochapishwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV kuhusu madai ya Tanzania...
TMA YATOA TAHADHARI UPEPO MKALI WA KILOMETA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MITA 2.0
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya hali ya Hewa TMA imetoa utabiri wa hali ya hewa unaonyesha Vipindi vya Upepo mkali unafikia Kilometa 40 kwa saa...
TADEPA YA SHAURI KUTENGWA RASILIMALI ZA KUTOSHA KWA AJILI YA MALEZI BORA KWA WATOTO
Shirika la TADEPA ambalo si la kiserikali linalojihusisha na masuala ya kijamii hususani kwa upande wa watoto lenye makao yake makuu Manispaa ya Bukoba...
KANISA KATOLIKI KUFANYA MBIO ZA HISANI MARATHONI MEI 27 MWAKA HUU
Na Magrethy Katengu
ASKOFU Mkuu Jimbo kuu la Dar es salaam Jude Ruwa'ichi ameshauri Jamii kuwa na desturi ya kufanya mazoezi mara kwa mara ili...
MAADHIMISHO SIKU YA UHANDISI KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Na Magrethy Katengu
Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET) kwa kushirikiana na Chama cha Wahandisi Washauri Tanzania (ACRT) na Bodi ya Usajili ya Wahandisi Tanzania (EAFEO)...















