Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023

Yearly Archives: 2023

WANANCHI WALIOTOKA KATIKA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WANAUWEZO WA KUMILIKI ARDHI

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema wananchi waliotoka katika Mamlaka ya hifadhi ya...

WANAWAKE WIZARA YA FEDHA WATOA MSAADA SHULE YA BUIGIRI

0
Na. Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Chamwino Watumishi Wanawake Wizara ya Fedha na Mipango wametoa msaada wa mahitaji ya msingi kwa wanafunzi wenye ulemavu...
TMA, UTABIRI, HEWA

TMA YATOA UTABIRI WA HALI YA HEWA UNAONESHA UPEPO AMBAO UTAKAU KILOMETA 30 KWA...

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya hali ya Hewa TMA imetoa utabiri wa hali ya hewa unaonyesha Upepo wa Pwani unafikia Kilometa 30 kwa saa huku...

WAZIRI MKUU: RAIS SAMIA ANATAKA KUONA MABADILIKO SEKTA YA MIFUGO

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka kuona mabadiliko kwenye sekta ya mifugo si tu kwa kijiji cha Msomera bali...

TANZANIA NA DENMARK KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI

0
Na Josephine Majura, (WFM) Doha Qatar Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa Denmark imekubali kushirikiana na Tanzania katika kupambana...

UBUNIFU WA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA CHACHU KATIKA KULETA USAWA WA KIJINSIA

0
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameshiriki katika hafla ya ugawaji majiko Banifu 114 yanayotumia nishati safi na Salama ya kupikia katika...

Waziri Dkt.Pindi Chana Ateta na Watumishi wa Wizara

0
Na Shamimu Nyaki Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewataka watumishi wa wizara hiyo wafanye kazi kwa kuzingatia matakwa ya...
JWT, KAGERA, SERIKALI

JWT KAGERA WAIOMBA SERIKALI KUENDELEA KUZITATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAFANYA BIASHARA

0
Na Theophilida Felician Kagera. Jumuiya ya wafanyabiashara Mkoa Kagera (JWT) imeiomba Serikali kuendelea kuzifanyia kazi ya utatuzi kwa baadhi ya changamoto kadhaa zinazowakabili wafanyabiashara wa...
ASKARI, POLISI, JWTZ

ASKARI WAKIKE POLISI, JWTZ, MAGEREZA, UHAMIAJI, ZIMAMOTO NA UOKOAJI WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA...

0
Na Theophilida Felician Kagera. Askari wa kike kutoka jeshi la Polisi dawati la jinsia pamaja na askari wengine kutoka majeshi mengine ambayo ni Jeshi la...
NAIBU WAZIRI, MASANJA, KIKAO

NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja ameongoza kikao cha kimkakati cha kufanya mapitio ya taarifa mbalimbali za utendaji kazi za Taasisi...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA