Home 2023
Yearly Archives: 2023
RC MTANDA KUTAFUTA MILIONI 30 ZA HAMASA KWA TIMU YA BIASHARA UNITED IREJEE LIGI...
-Aiombea ushindi dhidi ya Pan kesho
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda amesema anajipanga kutafuta milioni 30 kwaajili ya kutoa motisha kwa...
MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI IBADA LEO DEC 10
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa...
SHIVYAWATA BUKOBA WASHIRIKI SHEREHE ZA UHURU, WATAJA MAFANIKIO NA KUPONGEZA SERIKALI
Na Theophilida Felician, Kagera.
Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania SHIVYAWATA Manispaa ya Bukoba Mkaoani Kagera wameungana na wananchi wengine nchini kushiriki sherehe...
DKT. MWIGULU AWATAKA VIJANA WAHITIMU KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIUCHUMI NA MAENDELEO.
Na. Eva Ngowi na Ramadhani Kissimba, Mwanza
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewataka wahitimu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini,...
WAFANYABIASHARA YA SOKO KUU BABATI WATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’
NA. MWANDISHI WETU
Uongozi wa chama cha wafanyabiashara ndogondogo kutoka Soko Kuu la Babati wamekabidhi misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya...
DKT. YONAZI AISHUKURU REDCROSS KWA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’
NA. MWANDISHI WETU
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameushukuru uongozi wa Taasisi ya Tanzania...
CHAMA CHA MAPINDUZI 2024 – 2025 KINAITAJI VIONGOZI WENYE SIFA ZINAZO AKISI SIFA ZA...
08/ DEC 2023
Katibu wa NEC Idara ya Organaizeaheni CCM Taifa Issa Gavu amekuwa mgeni Rasmi katika kikao cha Baraza la wazee Mkoa wa Kilimanjao...
TIGO YAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUWEZESHA USAJILI NA UTOAJI WA VYETI VYA KUZALIWA KWA...
Na Adery Masta.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema kuwa Watoto zaidi ya milioni 8.8 wamesajiliwa na kupatiwa vyeti vya...
HAJI MANARA AMWAGA MAMILIONI , VIFAA VYA NYUMBANI NA ZAWADI KIBAO , MAGIFTI DABO...
PICHA YA PAMOJA : Mshindi wa Vifaa vya Nyumbani kutoka Hisense ambavyo ni FRIJI , MICRO WAVE , TV , na SOUNDBAR Kampeni ya...
KINANA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA SWAPO
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdurahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha SWAPO cha Namibia Komredi...













