Home 2023
Yearly Archives: 2023
MWENYEKITI UVCCM WILAYA YA SAME AHITIMISHA MASHINDANO YA SAMIA CUP
Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya SAME Azza Karisha amehitimisha mashindano ya SAMIA CUP yaliyokuwa...
DKT.KIJAJI ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI WA AfCFTA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA...
DIT WAASWA KUENDELEA KUHAMASISHA UBUNIFU , MAHAFALI YA 17
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo ametoa rai kwa uongozi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam...
PROF. KITILA MKUMBO ATUA KITUO CHA AFYA MAKUBURI
Waziri wa Nchi OR-MU Prof. Kitila Mkumbo baada ya kutembelea Kata ya Manzese hapo jana, hii leo amekwenda Kata ya Makuburi ambako ametembelea kituo...
PROF. KITILA MKUMBO AKUTANA NA BODABODA KIBANGU NA KUZUNGUMZA NAO
Waziri wa Nchi OR-MU na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo amefanya ziara katika Kata ya Makuburi na kukutana na waendesha pikipiki...
DC SAME AWATAKA WAKAZI WA HEDARU NA MAKANYA KUONDOKA KWA MUDA MAENEO YENYE MIKONDO...
Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Wakazi wa kata ya Hedaru na Makanya wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuendelee kuchukua tahadhari ikiwemo kuondoka kwa muda katika...
WIZARA YA NISHATI YATOA LITA 14,500 ZA PETROLI NA DIZELI KURAHISISHA UFANISI-KATESHI, MANYARA
Huduma ya Umeme imerejea kama kawaida
Na Zuena Msuya-Manyara
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, kwa Niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,...
DIT WATOA TUZO NA ZAWADI ZA FEDHA KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI 2022 / 2023
Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Wizara ya Elimu , Sayansi na Teknolojia Prof. Peter Msofe ( aliyevaa tai ) katika moja ya banda la...
Tigo yashinda Tuzo ya Ookla® kama Mtandao wa Simu wenye kasi zaidi nchini Tanzania.
Dar es Salaam, tarehe 6 Desemba 2023: Kampuni ya maisha ya kidijitali ya mawasiliano ya simu nchini, Tigo, ambayo ni sehemu ya Axian Telecom...
BETIKA YAZINDUA KAMPENI YA “TWENZETU IVORY COAST KV-VIP”
IKIWA umebakia mwezi mmoja kuanza Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika yanayotarajiwa kuanza January 13,2024 Jijini Abdjan Ivory Coast Kampuni ya Kubashiri Tanzania...












