Home 2023
Yearly Archives: 2023
KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO LAKABIDHI TSH. MILIONI 22 KWA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG
NA. MWANDISHI WETU
Kanisa la Waadventista wa Sabato kutoka Jimbo Kuu la Kaskazini Mwa Tanzania limekabidhi msaada ya fedha zaidi ya shilingi milioni 22 za...
WANANCHI WATAKIWA KUJIRIDHISHA KABLA YA KUNUNUA ARDHI
Na Shomari Binda - Musoma
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Slaa amewataka wananchi kujiridhisha kabla ya kuchukua uamuzi wa kutoa...
Wilaya ya Magu yaazimisha Miaka 62 Kwa kupanda Miti na kuendesha Mdahalo
Na Neema Kandoro Mwanza
Katibu Tawala wilayani Magu Jubilate Lawuo ameongoza Makundi ya watu mbalimbali wakiwemo wazee, walemavu, Vijana na wanafunzi katika kuendesha Mdahalo wa...
MWENYE MASHAKA NA MZANI AU KIPIMO ANACHOPIMIWA BIDHAA DUKANI ATOE TAARIFA KWA WAKALA WA...
Na Scolastica Msewa, Kibaha
Wakala wa Vipimo Tanzania WMA wametoa wito kwa Watanzania wenye mashaka na kipimo chochote wanachopimiwa katika kupata huduma au mahitaji mbalimbali...
WANANCHI KIJIJI CHA MUHOJI MUSOMA VIJIJINI WAJIPANGA KUFUNGUA SEKONDARI YAO MWAKANI
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa Kijiji cha Muhoji Kata ya Bugwema jimbo la Musoma vijijini wamejipanga kufumgua shule ya sekondari hapo mwakani.
Ujenzi wa awali unaokamilishwa...
WAKALA WA VIPIMO WMA TANZANIA NZIMA WANAHAKIKI VITENDEA KAZI VYAO KUTOKA NCHI NZIMA HUKO...
Na Scolastica Msewa, KibahaWakala wa Vipimo Tanzania WMA wametoa wito kwa Watanzania wenye mashaka na kipimo chochote wanachopimiwa katika kupata huduma au mahitaji mbalimbali...
WAZIRI MKUU: MTANZANIA USIKUBALI KUTOA RUSHWA
Azindua Awamu ya Nne ya Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kutoa rushwa mahali popote huku akisisitiza kuwa...
POLISI YATOA TAHADHARI MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA.
Na Mwandishi wetu, jeshi la Polisi- Dodoma.
Jeshi la Polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi juu ya mvua zinazoendela kunyesha huku likisema linao wajibu wa...
TUNU YA UMOJA NA MSHIKAMANO NI KIELELEZO CHA UHURU WETU
Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Katika kuadhimisha Siku ya kumbukizi ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania bara Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni ameshiriki...
FAINALI ZA MICHUANO YA CHAMWANA SUPER CUP ZATAMATIKA MAGUNIA
Betika Wamwaga vifaa vya Michezo
KATIKA Kuadhimisha kumbukizi ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Viongozi wa Serikali ya mtaa ya Msasani wameadhimisha siku hiyo...













