Saturday, May 2, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

LENGO LA SERIKALI YA AWAMU YA SITA NI KUWEKA MAZINGIRA MAZURI NA WEZESHI

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah amesema lengo la Serikali ya awamu ya Sita ni kuweka mazingira mazuri na...

UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KATIKA MJI WA KATESH WAFIKIA ASILIMIA 75

0
NA. MWANDISHI WETU Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amesema hadi sasa urejeshaji wa miundombinu ya barabara na makalvati iliyokuwa imeharibiwa na maporomoko ya...

UDSM YAMWAGA WASAIKOLOJIA HANANG KUHUDUMIA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANGNA. MWANDISHI WETU

0
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimetoa wataalamu watano wa masuala ya Saikolojia ambao wataungana na wataalamu wengine ambao wanaendelea kutoa huduma katika...

Tawi jipya la Tigo shop lazinduliwa Buswelu

0
Na Neema Kandoro Mwanza Tawi jipya la kutoa huduma za tigo katika Kata ya Buswelu limezinduliwa kwa lengo la kusogeza huduma ya kukopesha simu janja. Akizungumza...

WANAWAKE VIJANA VIONGOZI KUTOKA NCHI ZAIDI YA 20 ZA BARA LA AFRIKA WAMEKUTANA KIBAHA...

0
Na Scolastica Msewa, Kibaha.Katibu Mtendaji wa kanda ya Afrika Mashariki wa Pan African Women Organization PAWO Dkt. Suzan Kolimba amewataka Wanawake wenye sifa za...

VIJANA WATAKIWA KUCHANGAMKIA AJIRA KIWANDA KIPYA CHA KUUNGANISHA MAGARI

0
Waziri wa Vjwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji(Mb) ametoa rai kwa vijana wa Tanzania kuendelea kujielimisha na kupata ujuzi mbalimbali ili kuwa tayari...

WAZALISHAJI WA SARUJI WATAKIWA KUONGEZA UZALISHAJI WA SARUJI YENYE UBORA KWA WINGI

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema lengo la Serikali ya Awamu ya Sita nikuona Viwanda vya Saruji nchini vinazalisha...

JINSI KIJANA WA SIMIYU ALIVYOSHINDA MILIONI TANO ZA MAGIFTI DABO DABO

0
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa(kushoto) akizungumza na mshindi wa Magifti Dabodabo Shilingi milioni tano mkazi wa Kidinda mkoa Simiyu Robin Brasio,...

WASHINDI WA MAGIFTI DABO DABO SAFARI YA ZANZIBAR WALIVYOSINDIKIZWA KIFALME

0
 Dar es Salaam, 10 Desemba 2023: Washindi wa Kampeni ya Magifti Dabodabo inayoendeshwa na Kampuni ya Mtandao wa simu za mkononi ya Tigo jana...

SERIKALI YAWAKARIBISHA WANANCHI KUWASILISHA CHANGAMOTO ZINAZOHUSIANA NA KODI

0
Na. Scola Malinga na Saidina Msangi, WF, Dar Es Salaam. Ofisi ya Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST), imekaribisha wananchi wenye changamoto zinazohusiana...