Saturday, May 2, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

TAASISI YA MY LEGACY NA HABITAT FOR HUMANITY TANZANIA WAKABIDHI MATUNDU 20 YA VYOO...

0
 Taasisi isiyo ya kiserikali (My Legacy) kwa kushirikiana na Taasisi ya Habitat for humanity Tanzania (HFHT) wamekabidhi matundu ya vyoo 20 katika shule za...

WAZIRI KITILA MKUMBO AAHIDI HATUA MADHUBUTI KUINUSURU DAR ES SALAAM NA MMOMONYOKO WA UDONGO

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameahidi kuwa Serikali itachukua hatua madhubuti...

KINANA:VIONGOZI SERIKALINI FUATENI NYAYO ZA RAIS SAMIA KUESHIMU SHERIA, KANUNI MNAPOCHUKUA HATUA DHIDI YA...

0
Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ametaka viongozi na watenaji serikalini kuzingatia kanuni, sheria, utaratibu na Katiba...

UJENZI WA MAABARA KWENYE SEKONDARI ZA KATA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WASHIKA KASI

0
Na Shomari Binda - Musoma Jimbo la Musoma vijijini limeamua kutatua tatizo sugu la ukosefu wa maabara za masomo ya sayansi kwenye sekondari zake za...

TARI WAWAKIMBILIA WAKULIMA WALIOATHIRIWA NA MAAFA HANANG

0
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania TARI imekabidhi msaada ya pembejeo za kilimo kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya mawe na tope kutoka...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA

0
>Aalika wawekezaji sekta ya uvuvi Tanzania Bara na Zanzibar WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish na kujadiliana...

MWAROBAINI MIGOGORO YA WANYAMAPORI NA BINADAMU WAPATIKANA

0
Ashrack Miraji same kilimanjaro Katibu tawala Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro (DAS), Upendo Wella amebainisha kuwa changamoto ya wanyamapori hasa tembo kuvamia jamii zinazozunguka maeneo...

SERIKALI YAAGIZA SEKTA ZOTE KUTUMIA WANUNUZI WENYE SIFA

0
Na. Peter Haule, WF, Arusha Serikali imewaagiza waajiri wa Sekta zote nchini kuhakikisha wataalam wanaofanya shughuli za ununuzi na ugavi wanakuwa na sifa sitahiki kama...

KINANA: DIRA YA MAENDELEO ITABIORESHA PATO LA MTU MMOJA MMOJA

0
 Na Mwandishi Wetu, Chato MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulurhaman Kinana amesema mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya...

PROF. KITILA MKUMBO AAHIDI UJENZI WA BARABARA KOROFI NA VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU...

0
Waziri wa Nchi OR-MU na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameahidi kujengwa kwa baadhi ya barabara korofi kwenye eneo la Kilungule...