Tuesday, November 24, 2026
Tangazo-NHC
Home 2023

Yearly Archives: 2023

MSEMAJI MKUU, SERIKALI, HAKUNA

MSEMAJI MKUU WA SERIKALI: HAKUNA BANDARI ILIYOUZWA MIAKA 100

0
Na Magrethy Katengu Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema amekanusha upotoshaji Mkubwa unaondelea katika mitandao ya kijamii kuwa bandari imeuzwa kwa kampuni ya DP...
MABEHEWA, GOROFA, TRENI

MABEHEWA 6 YA GOROFA YA TRENI YA UMEME (SGR ) YAWASILI LEO

0
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia shirika la Reli Tanzania imesema reli ya Treni ya Umeme (SGR) ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 98 na baadhi ya...
Wawekezaji wazawa, Mazingira, rafiki

Wawekezaji wazawa wakoshwa na Mazingira rafiki ya Biashara nchini

0
Na Neema Kandoro, Mwanza BAADHI ya wawekezaji wazawa Jijini Mwanza wamepongeza serikali ya awamu ya sita kwa kuweka mazingira rafiki ambayo yamewafanya kumudu kuanzisha miradi...
ELIMU, UNYANYAPAA, UBAGUZI

ELIMU YA UNYANYAPAA NA UBAGUZI KWA WALIOATHIRIWA NA MARBURG YATOLEWA KWA WAANDISHI WA HABARI

0
Na Theophilida Felician Kagera. Shirika la KAMEA linalojihusisha na masuala ya huduma ya vyombo vya habari limetoa mafunzo kwa waandishi wa habari juu ya dhana...
TAKUKURU, MARA, VIFAA

TAKUKURU MARA YATAKA VIFAA VISIVYO NA UBORA KUTOTUMIKA KWENYE MIRADI

0
Na Shomari Binda-Musoma TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara limesimama kidete kuhakikisha vifaa visivyokuwa kuwa na ubora kutumika kwenye miradi...
JESHI, POLISI, MKOA

JESHI LA POLISI MKOA WA MARA LAWATAKA WAHALIFU KUTAFUTA KAZI ZA KUFANYA

0
Na Shomari Binda-Musoma JESHI la polisi mkoa wa Mara limewataka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu watafute kazi halali za kufanya kwa kuwa wataishia...

RC MTANDA ATAKA UKATILI DHIDI YA WAZEE UDHIBITIWE

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara,Said Muhamed Mtanda, amesema wazee wanapaswa kupewa huduma stahiki na kudhibiti masuala ya ukatili dhidi yao. Kauli hiyo ameitoa...

MAGUNIA 931 YA BANGI YAKAMATWA, HEKARI 953 ZATEKETEZWA, 16 MBARONI ARUSHA

0
Tazama Video Operesheni Tokomeza Bangi Arusha ambapo Magunia 931 yamekamatwa, Hekari 953 zimeteketezwa na watuhumiwa 16 wamekamatwa Na Mwandishi wetu - Arusha Kufuatilia operesheni maalumu ya...
BRELA, WAHARIRI, WAANDISHI

BRELA YAWANOA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI

0
Na Magrethy Katengu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania TEFF Deodatus Balile amesema Vyombo vya habari ni nyenzo muhimu kusaidia wananchi kupata taarifa sahihi hivyo...
Magu, mikakati, kuondosha

Magu waweka mikakati kuondosha alama sufuri mashuleni

0
Na Neema Kandoro,Magu WADAU wa sekta ya elimu wilayani Magu Mkoani Mwanza wamevutiwa na juhudi za walimu kwenye shule za sekondari kwa kuweka mikakati ya...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA