Tuesday, November 24, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023

Yearly Archives: 2023

MAHIMBALI, ATOA, WACHIMBAJI

Mahimbali Atoa Wito Kwa Wachimbaji Wadogo Kuitumia Wizara

0
Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amewataka Wachimbaji Wadogo kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) kushirikiana na Wizara...
100, KATIBU, MKUU

Siku 100 Za Katibu Mkuu Madini Madarakani

0
Aeleza Mipango Kabambe Kuifungua Sekta ya Madini Aweka Kicheko kwa Watumishi, Wadau Waziri Biteko Ataka Sekta ya Madini kuchangia Zaidi Fedha za Kigeni Dodoma Zikiwa zimetimia Siku 100...
JMAT, NEMC, VIONGOZI

Jmat Na Nemc Kukutana Na Viongozi Wa Dini Kuelimishana Kiwango Cha Sauti Katika Nyumba...

0
Na Magrethy Katengu Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la hifadhi ya Mazingira (NEMC )wameandaa kongamano la kitaifa...
CHALAMILA, VIONGOZI, DINI

Rc Chalamila Atoa Neno Kwa Viongozi Wa Dini Kukemea Mmomonyoko Wa Maadili

0
Na Magrethy Katengu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamala amewataka viongozi wa Dini kusaidia kukemea tatizo la Mmomonyoko wa maadali ikiwemo ubakaji,...
TBS, CHAKULA, SALAMA

Tbs Waadhimisha Siku Ya Chakula Salama Duniani Kwa Kishindo , Watoa Wito Kwa Wadau

0
  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt.Athuman Ngenya akizungumza na wadau mbalimbali (hawapo pichani) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama...
BARAZA JIPYA, MADAKTARI, TANGANYIKA

Baraza Jipya La Madaktari Tanganyika Lazinduliwa

0
Na WAF- Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezindua Baraza jipya la Madaktari Tanganyika linalotarajia kudumu kwa muda wa miaka mitatu, huku moja ya...
WAZIRI, NDALICHAKO, MENEJIMENTI

Waziri Ndalichako Ateta Na Menejimenti Ya Ofisi Yake

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti...
TPA, TANGA, MAONYESHO

Tpa Tanga Yaibuka Kinara Wa Tuzo Maonyesho Ya Biashara 2023

0
Na Boniface Gideon, TANGA MAMLAKA ya Usimamizi wa bandari (TPA')Tanga imeibuka kuwa mshindi wa jumla katika maonyesho ya biashara na utalii yaliyofanyika katika viwanja vya...
SEMINA, WAPIGA, PICHA

Semina Ya Wapiga Picha Na Video Yajadili Namna Ya Kutanua Masoko Ya Kibiashara 

0
WABOBEZI Wa Tasnia ya Picha na video wajadiliana namna ya kutafuta Masoko ya Kibiashara pamoja na kuunda umoja ambao utasaidia kupatiwa fursa za  mbalimbali...
TARURA MANISPAA, MUSOMA, FEDHA

Tarura Manispaa Ya Musoma Yaomba Fedha Za Dharura Kurekebisha Barabara

0
Na Shomari Binda-Musoma OFISI ya Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) manispaa ya Musoma kupitia Tarura mkoa wa Mara umeomba kiasi...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA