Home 2022
Yearly Archives: 2022
KONGAMANO LA KWANZA LA KISAYANSI KUHUSU TIBA ASILI LAFANYIKA MKOANI MOROGORO
Na. Catherine Sungura, Morogoro
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itakua bega kwa bega na waganga wa Tiba...
MAUDHUI YASIYOENDANA NA MAADILI YA KITANZANIA.
Imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari, Tarehe 29 Agosti, 2022.
ZOEZI LA SENSA ASILIMIA 93.45 ZA KAYA ZILIZOHESABIWA
Na Magrethy Katengu
Zoezi la Sensa kuanzia 23hadi 29 Agosti mwaka huu limefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufikia asilimia kaya 93.45% zimehesabiwa huku asilimia 6.55% bado...
PSPTBs;WASIOSAJILIWA MARUFUKU KUFANYA KAZI ZA MANUNUZI NA UGAVI asiosajiliwa
Na Magrethy Katengu
Bodi ya Umma Manunuzi na Ugavi imewapiga marufuku Wataalamu wanaofanya kazi za Manunuzi na Ugavi za serikali ikiwa hawajasajiliwa na yeyote atakayebainika...
BENKI YA MWANGA HAKIKA YAFANYA TUKIO HILI KUBWA NA WANAHISA MKOANI KILIMANJARO .
Mhe.Cleopa Msuya (Waziri mkuu mstaafu, mshauri na mwanahisa wa benki ya Mwanga Hakika) akizungumza na wanahisa kwenye mkutano mkuu wa pili uliofanyika 27-08-2022 Wilayani...
TANZANIA YAWASILISHA MIRADI MINANE TICAD-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania imewasilisha miradi minane yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.334 katika Mkutano wa Nane wa...
KILA KAYA INATAKIWA KUWA NA CHOO BORA KUEPUKA KIPINDUPINDU
Na. Majid Abdulkarim, WAF
Waziri wa Afya, Mhe Ummy Mwalimu amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha kila kaya inakuwa na choo bora na kuzingatia...
AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA KWA KUKUTWA NA HATIA YA UCHAWI WILAYANI LUDEWA.
Leo Agosti 29, 2022 Mahakama ya Wilaya ya Ludewa imemtia hatiani mtu mmoja anae julikana kwa majina ya John Sevelini Chale (60) Mkazi wa...
HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA YAONGEZA NGUVU UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KIMKAKATI
Halmashauri ya Jiji la Tanga imesema kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 inatarajia kuongeza nguvu za Utekelezaji wa Miradi ya Kimkakati ya Jiji ikiwamo Ujenzi...
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMEHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA TICAD 8
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 27, 2022 amehudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa kuhusu Maendeleo...















