Tuesday, November 24, 2026
FAHARI AFYA
Home 2022

Yearly Archives: 2022

RC RUKWA: WATUMISHI TATUENI KERO ZA WANANCHI

0
Na. OMM RukwaMadiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga wametakiwa kushirikiana katika kutatua kero na shida za wananchi ili kuleta ustawi wa...

TANZANIA NA SINGAPORE KUBADILISHANA WAKUFUNZI KWENYE VYUO VYA UFUNDI NA UJUZI

0
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam Serikali imesema kuwa Tanzania ipo tayari kubadilishana na Singapore wakufunzi wa vyuo vya Ufundi na Ujuzi ili kuongeza uelewa...

MHE. RAIS MWINYI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA WAADILIFU

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wanzanzibari  Serikali yake itachukua hatua zaidi za kuhakikisha inadhibiti ubadhirifu...

KINANA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KAGERA, ATOA ANGALIZO UJENZI WA BARABARA INAYOUNGANISHA MKOA...

0
Makamu mwenyekiti wa ccm bara comrade Abdulrahman Kinana ameelezea kutoridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa ya Kigoma na Kagera. Akizungumza mjini...

WAWEKEZAJI ARUSHA WAMWAGIA SIFA RAIS SAMIA UJENZI WA BARABARA ZA TARURA

0
Wawekezaji na wananchi wa kata ya Themi, Halmashauri ya Jiji la Arusha wamemsifu na wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwajengea kwa...

SERIKALI KUHAKIKISHA MAKUNDI YOTE YANAPATA FURSA SAWA

0
Na WMJJWM, Dodoma Serikali imedhamiria kuhakikisha makundi yote katika jamii yanashiriki kikamilifu kwenye utekelezaji wa Mipango, Sera na Miongozo inayotegenezwa ili kila mmoja anufaike na...

MKANDARASI ATAKIWA KUMALIZA BARABARA KWA WAKATI/ WANANCHI WACHEKELEA SASA

0
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Muleba mkoani Kagera imeagiza Barabara zote zinazotekelezwa wilayani humo kukamilika kwa wakati na kuzingatia ubora unaotakiwa. Kamati hiyo imetoa...

KAMPUNI YA GF TRUCKS & EQUIPMENT LTD YAINGIA MAKUBALIANO YA UDHAMINI NA GEITA GOLD...

0
Na mwandishi wetu GF Trucks & Equipment LTD ni kampuni ya uuzaji wa Magari Makubwa (FAW), Machine(XCMG) na spare parts yatangaza kuingia Udhamini na Geita...

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UUZAJI WA ARDHI HOLELA.

0
Na Magrethy Katengu Waziri wa Ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi Dakta Angelina mabula amepiga marufuku kwa wapimaji na waendelezaji wa Milki kuuza viwanja vyenye vipimo...
KALAMBO, ZOEZI, CHANJO

DC KALAMBO AFANYA UZINDUZI WA ZOEZI LA CHANJO YA POLIO

0
Na Mwandishi Wetu, Kalambo. Mkuu wa Wilaya ya Kalambo iliyoko Mkoani Rukwa, Mhe. Tano Mwera amewataka kuhakikisha Wazazi wanawapeleka watoto wao wote walio chini ya...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA