Home 2022
Yearly Archives: 2022
TANZANIA YAVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA UZALISHAJI CHAKULA
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Bw. Ally Gugu alisema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais...
WAZIRI WA ELIMU AZINDUA BODI YA BARAZA LA MITIHANI
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amezindua Bodi ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo tarehe 11 Novemba, 2022,...
DKT.BITEKO AUAGIZA MGODI WA ALMASI MWADUI KUKAMILISHA TATHMINI YA AJALI
Mkuu wa Mkoa aunda Kamati kuchunguza chanzo, athari na kutoa mapendekezo
Serikali kuchukua hatua kudhibiti madhara kutokea
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameuagiza Mgodi wa...
MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII.
By Mercy Maimu
Waziri wa Maliasiali na Utalii Balozi Dakta PINDI CHANA, amefungua maonyesho ya pili ya kimataifa ya karibu kusini katika viwanja vya...
MANDOGA: KINESI ZITAPIGWA ZAIDI YA NGUMI NDOIGE
Na. Khadija Seif
Bondia wa Ngumi za kulipwa Karim Mandoga aongoza zoezi la mabondia kupima Afya kuelekea pambano la Dar Boxing Derby Novemba 20,2022 Uwanja...
MAMA WAJAWAZITO WATAKIWA KUPEWA ELIMU ILIYO SAHIHI YA LISHE NA MAZOEZI – BUSELA
Na Salim Bitchuka
Imeelezwa kuwa taarifa sahihi na Elimu sahihi kwa mama wajamzito zitasaidia kupunguza vifo ya kinamama vitokanavyo na uzazi.
Hayo yameelezwa leo na Dkt....
VIJANA 900 KWENDA SAUD ARABIA
Na Magrethy Katengu
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana,Ajira,na Watu wenye Ulemavu Profesa Jamal Katundu amewataka Watanzania wanaopata fursa za ajira nje ya nchi...
WIZARA YA ELIMU ITAHAKIKISHA INAGAWA RASILIMALI NA FURSA KWA HAKI-WAZIRI MKENDA
Na Mathias Canal, WEST- Bagamoyo, Pwani
Serikali imempongeza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bi Bahati Geuzye pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya...
(MKUMBI) UMEFANIKIWA UFUTAJI NA UPUNGUZAJI WA TOZO, ADA NA FAINI 232
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema Utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara (MKUMBI) umefanikiwa ufutaji na upunguzaji wa...
WIZARA YA MAJI NA AFYA KUSHIRIKIANA KUEPUSHA CHANGAMOTO YA MAJI HOSPITALI YA MUHIMBILI
Dar es Salaam, 06 Novemba 2022
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso leo ametembelea hospitali ya Taifa Muhimbili kuhakikisha huduma za maji ndani ya hospitali...















