Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 20, 2022 ameshiriki Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Lindi, kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea-TTC, Nachingwea.

Akizungumza katika mkutano huo Mkuu wa Uchaguzi Mkoa wa Lindi, Mheshimiwa , Majaliwa amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan amewataka wajumbe wa mkutano huo kuchagua viongozi makini, waadilifu na ambao watatoa miongozo bora ya kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM









