Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitembelea Mabanda ya maonesho ya huduma mbalimbali za afya ya uzazi ya mama na mtoto baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Novemba, 2026.Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Viongozi na wadau mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Tatu wa Kitaifa wa Kisayansi kuhusu Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto mchanga, Mtoto, Vijana na Lishe katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Novemba, 2026.Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisaini Mkataba pamoja na Wakuu wa Mikoa kuhusu usimamizi na utekelezaji wa Mkakati wa kusimamia huduma ya afya ya Uzazi, Mama, Mtoto na Vijana katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Novemba, 2026. Kwa upande wa Wakuu wa Mikoa, Mkataba huo ulisainiwa na Mwenyekiti wao, Mhe. Martine Shigela, Mkuu wa Mkoa wa Manyara. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza jambo na Mhe. Dkt. Austin Demby, Waziri wa Afya wa Sierra Leone, wakati wa Mkutano wa Tatu wa Kitaifa wa Kisayansi kuhusu Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto mchanga, Mtoto, Vijana na Lishe katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Novemba, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na viongozi mbalimbali, wadau wa masuala ya Afya kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Kitaifa wa Kisayansi kuhusu Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto mchanga, Mtoto, Vijana na Lishe katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Novemba, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na viongozi mbalimbali, wadau wa masuala ya Afya kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Kitaifa wa Kisayansi kuhusu Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto mchanga, Mtoto, Vijana na Lishe katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Novemba, 2026. Viongozi pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya afya wakiwa kwenye Mkutano wa Tatu wa Kitaifa wa Kisayansi kuhusu Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto mchanga, Mtoto, Vijana na Lishe katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Novemba, 2026.