Home Kitaifa CHALAMILA AWAKARIBISHA WAGENI KATIKA KONGAMANO LA AFCFTA

CHALAMILA AWAKARIBISHA WAGENI KATIKA KONGAMANO LA AFCFTA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaaam, Albert Chalamila amewakaribisha wageni kutoka nje ya nchi katika kongamano la Afcfta la wanawake katika Biashara 2023 linalofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere.

Tunayo furaha kuwapokea wageni wetu, karibuni wageni ili muweze kuwekeza katika nchi yetu, pia Tanzania tunatumia lugha ya Kiswahili tunaomba wageni hadi mtakapo ondoka muwe mmejifunza lugha yetu ya Kiswahili

Kongamano hilo limeanza Leo 6, December 2023 na Litamalizika tarehe 8, December 2023

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!