Home Kitaifa WAJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM WAMETAKIWA KUCHAGUA VIONGOZI MAKINI, WAADILIFU AMBAO...

WAJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM WAMETAKIWA KUCHAGUA VIONGOZI MAKINI, WAADILIFU AMBAO WATATOA MIONGOZO BORA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 20, 2022 ameshiriki Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Lindi, kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea-TTC, Nachingwea.

Akizungumza katika mkutano huo Mkuu wa Uchaguzi Mkoa wa Lindi, Mheshimiwa , Majaliwa amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan amewataka wajumbe wa mkutano huo kuchagua viongozi makini, waadilifu na ambao watatoa miongozo bora ya kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!