Home 2026
Yearly Archives: 2026
BILIONI 91 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI 570 VYA MKOA WA MOROGORO
Na.Mwandishi Wetu-Morogoro
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Malima, tarehe 6 Februari, 2026 amewapokea wakandarasi wawili kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA); watakaotekeleza Mradi...
RC SENDIGA:UMEME VITONGOJINI KUINUA UCHUMI WA WANANCHI
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme kwenye vitongoji ni chachu ya kuinua uchumi wa wananchi...
RAIS DKT SAMIA KUZINDUA SOKO LA KARIAKOO FEBRUARI 08, 2026
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua soko la Kariakoo Februari 8, 2026 ambalo lilikuwa kwenye ukarabati baada...
WATANZANIA ZAIDI YA 1000 KUNUFAIKA NA AJIRA ZA KIWANDA CHA AFRIPORT APPAREL LIMITED
Sekta ya Viwanda nchini Tanzania imeendelea kutoa majawabu ya fursa za ajira. Hii ni kutokana na nia ya Serikali ya kuendelea kuboresha mazingira ya...
WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAPO TAYARI KWA MFUMO WA IDRAS
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo (JWK) Bw. Severin Mushi,akizungumza wakati wa mafunzo ya mfumo mpya kwa wafanyabiashara wa Kariakoo.
Na.Mwandishi Wetu- KARIAKOO
Wafanyabiashara wameukubali...
UMEME VITONGOJINI WACHOCHEA UCHAKATAJI MAZAO KATAVI
Imeelezwa kuwa mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Awamu ya Pili B (HEP 2B) unakwenda kuongeza na kuchocchea uchakataji wa mazao ambayo kwa...
POSTA NA TCRA KUSHIRIKIANA KUOKOA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI NCHINI
Serikali imesisitiza kuwa uwepo wa anwani za makazi zilizoandaliwa na kutunzwa vizuri ni kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi wa kidijitali na uboreshaji wa...
DCC HANDENI YAPITISHA VIPAUMBELE VYA HANDENI MJI 2026/27
📌Bima ya afya kwa wote yaguswa
Na Augusta Njoji
KAMATI ya Ushauri ya Wilaya ya Handeni (DCC) imepitisha mapendekezo ya rasimu ya Mpango wa Maendeleo na...
ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 19.5 KUTEKELEZA MRADI WA USAMBAZAJI UMEME KWENYE VITONGOJI 127
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuleta neema ya maendeleo kwa wananchi wa mkoa wa Arusha...
UWEKEZAJI WA NDANI NI UTEKELEZAJI WA DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050 NA ILANI...
Kampeni ya Kitaifa ya uwezeshaji uwekezaji wa ndani ni utekelezaji wa Vitendo wa Dira ya Taifa ya 2050 na Ilani ya CCM 2025-2030 ambayo...













