Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2026

Yearly Archives: 2026

VITONGOJI 619, UMEME, MWANZA

VITONGOJI  619 KUFIKIWA NA UMEME MKOANI MWANZA

0
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda,akizungumza wakati wa kikao cha kumtambulisha mkandarasi TIBEA Company Limited pamoja na White City International Contractors ambao...
DODOMA, WANANCHI, KUJIANDAA

RC DODOMA AWATAKA WANANCHI KUJIANDAA MAPEMA KABLA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME KATIKA VITONGOJI 379...

0
Jijini Dodoma📍 Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule ametoa wito kwa Wananchi wa vitongoji vitakavyonufaika na Mradi wa Kusambaza Umeme katika vitongoji 379...
NYAMWESE, MASHAURI, ARDHI

DC NYAMWESE ATAKA MASHAURI YA ARDHI YASIKILIZWE HARAKA KUCHOCHEA MAENDELEO HANDENI

0
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese,akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria yaliyofanyika katika Mahakama ya Wilaya ya Handeni leo Februari...
MRADI, MAJIKO, BANIFU

MRADI WA MAJIKO BANIFU WATAMBULISHWA GEITA .

0
Serikali ya Mkoa wa Geita kupitia Kaimu katibu tawala wa mkoa wa Geita ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya Mipango na Uratibu, Ndugu...
MRADI, KUPELEKA, UMEME

MRADI WA KUPELEKA UMEME KWENYE VITONGOJI KUCHOCHEA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA

0
Imeelezwa kuwa Mradi wa kupeleka umeme kwenye vitongoji 9,009 Awamu ya Pili B (HEP 2B), utakaonufaisha Wateja wa awali 290,300 katika mikoa 25 ya...
ZAIDI, WANAFUNZI, 000

ZAIDI YA WANAFUNZI 7,000 KUDAILIWA KATIKA KILA KAMPASI MPYA

0
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Daniel Mushi,akizungumza na wadau leo Februari 02, 2026 jijini Dodoma. .... Serikali imeelekeza wadau kuhakikisha...
UVCCM, MUHEZA, MSAADA

UVCCM MUHEZA WATOA MSAADA KWA WALEMAVU S/MLINGANO

0
Na Boniface Gideon, TANGA Jumuiya ya Vijana wa chama cha Mapinduzi 'UVCCM' Wilaya ya Muheza,imetoa msaada wa vifaa mbalimbali na vyakula kwa Wanafunzi wenye ulemavu...
ELIMU KUHUSU, MADHARA, MATUMIZI

ELIMU KUHUSU MADHARA YA MATUMIZI HOLELA YA POMBE YAWAFIKIA WAKAZI WA ROMBO , WAIPONGEZA...

0
Na Mwandishi Wetu. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewahakikishia wananchi kuwa bidhaa za pombe zinazozalishwa nchini na zinazoingizwa kutoka nje ni salama kwa matumizi, huku...
NYAMWESE, MADIWANI, MASLAHI

DC NYAMWESE: MADIWANI MSITANGULIZE MASLAHI BINAFSI KWENYE HALMASHAURI

0
MKUU wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese,akizungumza wakati akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo madiwani wa Halmashauri ya Mji Handeni, Halmashauri ya Wilaya ya...
WAZIRI, MAVUNDE, AKABIDHI

WAZIRI MAVUNDE AKABIDHI MAJIKO YA GESI 1,000 KWA MAMA NA BABA LISHE DODOMA

0
Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Mtumba, Antony Mavunde, amekabidhi jumla ya majiko 1,000 ya gesi kwa mama lishe na baba lishe...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA