Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2026

Yearly Archives: 2026

VITONGOJI, VYOTE, MKOA

VITONGOJI VYOTE MKOA WA KILIMANJARO SASA KUWA NA UMEME

0
Wananchi katika vitongoji 186 ambavyo vinatarajiwa kupelekewa umeme Mkoani Kilimanjaro wamehamasishwa kuanza kufanya maandalizi ya kuupokea mradi huo kwa kuanza kutandaza nyaya ndani ya...
MATUMIZI, NISHATI, SAFI

MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUONGEZEKA MARA .

0
Serikali ya Mkoa wa Mara kupitia Kaimu katibu tawala wa mkoa wa Mara ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji, Mhandisi Mwita...
WANANCHI MKOANI, GEITA, KUPITIA

WANANCHI MKOANI GEITA KUNUFAIKA KIUCHUMI KUPITIA HUDUMA YA UMEME VITONGOJINI

0
Wananchi Mkoani Geita watakiwa kuchangamkia fursa ya umeme kwenye Vitongoji vyao ambapo Wakala ya Nishati Vijijini (REA) inatarajia kusambaza umeme kwenye vitongoji 528 vitakavyo...
MAJIKO BANIFU, AFYA, MAZINGIRA

MAJIKO BANIFU MKOMBOZI WA AFYA NA MAZINGIRA SIMIYU .

0
Wakazi wa mkoa wa Simiyu waaswa kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira kwa kutumia nishati safi na salama ya kupikia. Rai hiyo...
BILIONI 73.8, KUPELEKA, UMEME

BILIONI 73.8 KUPELEKA UMEME VITONGOJI 527 MKOA WA TANGA

0
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa shilingi bilioni 73.8 wa kusambaza umeme katika vitongoji 527 mkoani Tanga. Hayo yamebainishwa leo Januari...
IRINGA, WANANCHI, WAKANDARASI

RC IRINGA ASISITIZA WANANCHI KUWALINDA WAKANDARASI NA VIFAA VYA UJENZI

0
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James, amewataka wananchi wa Mkoa huo kutoa ushirikiano kwa Wakandarasi wa miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini...
TANZANIA, SERBIA, USHIRIKIANO

TANZANIA NA SERBIA ZAJADILI USHIRIKIANO WA AJIRA NA MAENDELEO YA RASILIMALI WATU

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Clement Sangu akizungumza na Waziri wa Kazi, Ajira na Ustawi...
BAJETI, BARABARA, LAMI

DKT.JAFO AKOMALIA BAJETI YA BARABARA YA LAMI MLANDIZI-MZENGA-BOGA

0
Mbunge wa Jimbo la  Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akiuliza swali la nyongeza leo Januari 29,2026 bungeni jijini Dodoma. Na.Alex Sonna, Dodoma Mbunge wa Jimbo la  Kisarawe, Dkt....
UMEME, UCHUMI, AJIRA

UMEME UNACHOCHEA UCHUMI, AJIRA NA LISHE KWA WANANCHI WA VIJIJINI – RC PWANI

0
Kibaha, Pwani📍 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge leo, tarehe 28 Januari, 2026 wakati wa hafla ya kuwatambulisha wakandarasi wa kampuni ya Nakuroi...
TANZANIA, OMAN, KUIMARISHA

TANZANIA NA OMAN KUIMARISHA USHIRIKIANO MASUALA YA KAZI NA AJIRA

0
Tanzania na Oman zimeendelea kuonyesha dhamira ya kuendelea kuimarisha ushirikiano katika masuala ya kazi na ajira ili kuongeza ajira zenye staha, kulinda haki za...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA