WANAWAKE WANUFAIKA NA FURSA ZA UNUNUZI WA UMMA BAADA YA USIMAMIZI MZURI WA PPRA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Rosemary Senyamule, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma kwa kusimamia vizuri upatikanaji wa fursa za Ununuzi...




