Sunday, March 22, 2026
Home 2026 February

Monthly Archives: February 2026

NAIBU WAZIRI KWAGILWA: TAASISI ZINAZOHUDUMIA WANANCHI ZIWASILISHE TAARIFA ZAKE BARAZA LA MADIWANI

0
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Reuben Kwagilwa,akizungumza katika mkutano wa kupokea na kujadili...

BILIONI 91 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI 570 VYA MKOA WA MOROGORO

0
Na.Mwandishi Wetu-Morogoro Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Malima, tarehe 6 Februari, 2026 amewapokea wakandarasi wawili kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA); watakaotekeleza Mradi...

RC SENDIGA:UMEME VITONGOJINI KUINUA UCHUMI WA WANANCHI

0
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme kwenye vitongoji ni chachu ya kuinua uchumi wa wananchi...

RAIS DKT SAMIA KUZINDUA SOKO LA KARIAKOO FEBRUARI 08, 2026

0
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua soko la Kariakoo Februari 8, 2026 ambalo lilikuwa kwenye ukarabati baada...

WATANZANIA ZAIDI YA 1000 KUNUFAIKA NA AJIRA ZA KIWANDA CHA AFRIPORT APPAREL LIMITED

0
Sekta ya Viwanda nchini Tanzania imeendelea kutoa majawabu ya fursa za ajira. Hii ni kutokana na nia ya Serikali ya kuendelea kuboresha mazingira ya...

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAPO TAYARI KWA MFUMO WA IDRAS

0
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo (JWK) Bw. Severin Mushi,akizungumza wakati wa mafunzo ya mfumo mpya kwa wafanyabiashara wa Kariakoo. Na.Mwandishi Wetu- KARIAKOO Wafanyabiashara wameukubali...

UMEME VITONGOJINI WACHOCHEA UCHAKATAJI MAZAO KATAVI

0
Imeelezwa kuwa mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Awamu ya Pili B (HEP 2B) unakwenda kuongeza na kuchocchea uchakataji wa mazao ambayo kwa...

POSTA NA TCRA KUSHIRIKIANA KUOKOA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI NCHINI

0
Serikali imesisitiza kuwa uwepo wa anwani za makazi zilizoandaliwa na kutunzwa vizuri ni kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi wa kidijitali na uboreshaji wa...

DCC HANDENI YAPITISHA VIPAUMBELE VYA HANDENI MJI 2026/27

0
šŸ“ŒBima ya afya kwa wote yaguswa Na Augusta Njoji KAMATI ya Ushauri ya Wilaya ya Handeni (DCC) imepitisha mapendekezo ya rasimu ya Mpango wa Maendeleo na...

ZAIDI YA SHILINGI BILIONIĀ  19.5 KUTEKELEZA MRADI WA USAMBAZAJI UMEME KWENYE VITONGOJIĀ  127

0
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuleta neema ya maendeleo kwa wananchi wa mkoa wa Arusha...