Sunday, March 22, 2026
Home 2026 February

Monthly Archives: February 2026

WAZIRI MKENDA ATAKA ONGEZEKO LA WANAWAKE NA WASICHANA KATIKA TAALUMA ZA SAYANSI

0
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,Prof. Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa  hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi yaliyofanyika...

SERIKALI KUIMARISHA SEKTA YA KINGA YA JAMII, KULETA MANUFAA KWA UMMA

0
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na...

EWURA YATOA MSAADA WA MASHUKA 455 HOSPITALI YA MKOA WA IRINGA

0
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo, 10 Februari 2026, imetoa msaada wa mashuka 455 katika hospitali ya rufaa ya...

KWAGILWA AKAGUA ICU YA KISASA HANDENI MJI, KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA

0
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Reuben Kwagilwa, amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo...

KATIBU MKUU DKT. MUYUNGI AWAKARIBISHA WADAU USAFIRI WA KUTUMIA UMEME

0
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akizungumza katika Mkutano na wadau kutoka Jumuiya ya Vyombo vya Moto vitumiavyo Umeme Tanzania (TAEMA)...

SERIKALI KUCHUKUA HATUA ZA KINIDHAMU KWA WAAJIRI WOTE WASIOZINGATIA SHERIA

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete, akizungumza na  watumishi wa Tume ya Utumishi...

WADAU WA BIASHARA SHINYANGA WAPONGEZA JITIHADA ZA BARAZA LA USHINDANI

0
Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Bw. David Lyamongi,akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya ushindani wa kibiashara wadau...

USHINDANI WA HAKI WACHOCHEA UBUNIFU SOKONI

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo, amesema Tume ya Ushindani (FCC) iendelee na majukumu ya kusimamia ushindani katika kujenga imani ya walaji, kwani...

WADAU WA BIASHARA WAELIMISHWA NAMNA YA KUPATA HAKI KUPITIA BARAZA LA USHINDANI

0
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana,akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara jijini Mwanza,ili  kuwaongezea uelewa kuhusu masuala ya ushindani...

RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUPUNGUZA UHABA WA WATUMISHI HANDENI MJI

0
Mwenyekiti wa halmashauri ya Mji Handeni, Amiri Mwaliko,akizungumza katika mkutano wa kupokea na kujadili taarifa za kata za Halmashauri ya Mji Handeni uliofanyika leo...