ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 19.5 KUTEKELEZA MRADI WA USAMBAZAJI UMEME KWENYE VITONGOJI 127
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuleta neema ya maendeleo kwa wananchi wa mkoa wa Arusha...
UWEKEZAJI WA NDANI NI UTEKELEZAJI WA DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050 NA ILANI...
Kampeni ya Kitaifa ya uwezeshaji uwekezaji wa ndani ni utekelezaji wa Vitendo wa Dira ya Taifa ya 2050 na Ilani ya CCM 2025-2030 ambayo...
BILIONI 45.8 KUTUMIKA KUFIKISHA UMEME KATIKA VITONGOJI MKOANI SIMIYU
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi. Prisca Kayombo,akizungumza wakati wa kikao cha kumtambulisha rasmi Mkandarasi wa Mradi huo Burhani Engineers limited atakaye hudumia Vitongoji...
MFUMO WA IDRAS KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WALIPAKODI
Kaimu Naibu Kamishna wa Huduma kutoka Idara ya Walipakodi wakubwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rosemary Ruganuza leo 04.02.2026 Jijini Dar es Salaam...
EWURA YATANGAZA BEI ZA MAFUTA FEBRUARI 2026,DIZELI YASHUKA MARADUFU
Na Mwandishi Wetu - DODOMA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta aina ya...








