SERIKALI YATENGA BILIONI 45.6 KWA AJILI YA KUSAMBAZA UMEME KATIKA VITONGOJI 376 MKOA WA...
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji 376 vya mkoa huo utawezesha uongezaji...
SERIKALI YAFAFANUA HATUA ZA KUDHIBITI MIKOPO YENYE RIBA KUBWA
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kudhibiti mikopo yenye riba kubwa ili kulinda wananchi...
TAMWA YAWEKA MIKAKATI KUTOKOMEZA UKATILI NCHINI.
Na Boniface Gideon,Tanga
Mikakati thabiti ya kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii inahitaji ushirikiano wa makundi mbalimbali ya jamii nzima kwa ujumla ambapo...
HANDENI MJI YAENDELEA KUTEKELEZA KWA UFANISI MPANGO WA LISHE SHULENI
Na Job Karongo
HALMASHAURI ya Mji Handeni imeendelea kuonyesha mafanikio katika utekelezaji wa mpango wa lishe shuleni baada ya jumla ya wanafunzi 28,047 kati ya...
MAJIKO BANIFU YA RUZUKU YAPIGA HODI SHINYANGA .
Serikali ya Mkoa wa Shinyanga kupitia Kaimu katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga ambaye pia ni Katibu tawala msaidizi rasilimali watu, Ndugu David Lyamongi...
RC MAKONGORO AIPA KIPAUMBELE AJENDA YA KUPELEKA UMEME KWENYE VITONGOJI
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Makongoro Nyerere ameahidi kuipa kipaumbele miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ya kupeleka umeme kwenye vitongoji 156...
WMA YAFUNGA MTAMBO WA KISASA UNAOHAKIKI DIRA ZA MAJI DODOMA
Afisa Vipimo kutoka Wakala wa Vipimo (WMA), akihakiki dira za maji.
Veronica Simba - WMA
Wakala wa Vipimo (WMA) umesimika mtambo wa kisasa wa kidijitali wa...
TANZANIA YAPOKEA UGENI KUTOKA WAKALA WA KIMATAIFA WA NGUVU ZA ATOMU DUNIANI (IAEA)
Na Mwandishi Wetu - Dodoma
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea ugeni wa viongozi wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomu Duniani...
VITONGOJI 619 KUFIKIWA NA UMEME MKOANI MWANZA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda,akizungumza wakati wa kikao cha kumtambulisha mkandarasi TIBEA Company Limited pamoja na White City International Contractors ambao...
RC DODOMA AWATAKA WANANCHI KUJIANDAA MAPEMA KABLA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME KATIKA VITONGOJI 379...
Jijini Dodoma📍
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule ametoa wito kwa Wananchi wa vitongoji vitakavyonufaika na Mradi wa Kusambaza Umeme katika vitongoji 379...













