Sunday, March 22, 2026
Home 2026 February

Monthly Archives: February 2026

MKAA MBADALA MKOMBOZI MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WATANZANIA

0
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kutumia teknolojia mbalimbali ikiwemo matumizi ya mkaa mbadala unaozalishwa nchini...

ZAIDI YA MILIONI 300 ZATUMIKA KUNUNUA VIFAA VYA ELIMU NA AFYA BUNDA NA SERENGETI

0
Zaidi ya shilingi milioni mia tatu zimetumika kununua vifaa tiba na vifaa vya elimu, ikiwemo madawati zaidi ya elfu tatu pamoja na kompyuta, katika...

TAWA YAKABIDHI VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 362 KWA WILAYA ZA SERENGETI NA...

0
Na. Joyce Ndunguru, Mara. Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kushirikiana na Kampuni ya Grumeti Reserve Ltd imekabidhi vifaa mbalimbali yakiwemo Madawati 3,015,...

KITETO WAAHIDIWA KUPATIWA MWENYEKITI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA

0
Na Munir Shemweta, KITETO Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo ameahidi kupelewa kwa Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na...

TANZANIA YAPEWA PONGEZI UUNDWAJI WA TUME YA UCHUNGUZI

0
Pongezi hizo zimetolewa katika taarifa ya Kamishna Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Turk wakati wakutoa taarifa inayoangazia...

MFUGAJI WA KUKU AMEJISHINDIA PIKIPIKI

0
Mjasiriamali na mfugaji wa kuku kutoka Mapinga, Bagamoyo, Raphael Emmanuel, amejishindia pikipiki kupitia promosheni iliyoandaliwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet. Akizungumza wakati...

DKT. JAFO AWASHA TENA MOTO WA AFYA VIJIJINI KUPITIA KAMPENI YA “KILA MTU ATIBIWE...

0
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe,Mhe.Dkt. Selemani Jafo, ameendelea kuonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha huduma za afya kupitia kampeni yake ya “Kila Mtu...

FCT: UWAJIBIKAJI, UAMINIFU NGUZO YA BIASHARA DODOMA

0
  KATIBU Tawala Msaidizi Sehemu ya Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Dodoma Bi.Mwajabu Nyamkomora,akizungumza  wakati akifungua semina ya kuwajengea uwezo wadau wa Baraza la Ushindani...

REA YANG’ARA KWA MAFANIKIO UHAMASISHAJI NISHATI VIJIJINI MKOANI MARA

0
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kung’ara mkoani Mara baada ya kuonesha mafanikio makubwa katika ziara ya uhamasishaji wa miradi ya nishati vijijini. Wananchi...

DKT.JAFO ARIDHISHWA NA KASI YA MKANDARASI MRADI WA MAJI NYANI

0
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe mkoani Pwani, Selemani Jafo, ameonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa maji katika Kijiji cha Nyani, Kata...