Home 2024
Yearly Archives: 2024
DKT. BITEKO AHIMIZA UPENDO, AMANI NA USHIRIKIANO SENGEREMA
๐Asisitiza wananchi kushiriki Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa kwa amani
๐ Asema Sengerema inahitaji maendeleo na si maneno
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri...
RAIS SAMIA AZIWEZESHA SEKTA BINAFSI KUTEKELEZA MIRADI YA UMEME
๐Shilingi bilioni 2 zimetolewa na REA kuendeleza mradi
๐ Utunzaji wa mazingira umepewa kipaumbele kwenye utekelezaji wa miradi
๐Makete - Njombe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR AHIMIZA KUBORESHA AFYA NA MIUNDOMBINU YA SOKO LA...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Othman Masoud Othman amesema maendeleo ya Taifa yanategemea, kwa kiasi kikubwa, ustawi bora wa Jamii pamoja...
WAZIRI CHANA ATOA WITO KWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUSHIRIKIANA KULINDA MALIASILI
Na Happiness Shayo-Arusha
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kushirikiana...
DC SAME AZINDUA KAMPENI YA TAMASHA LA UTALII SAME UTALII FESTIVAL: “SEASON TWO” MWAKA...
Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media
Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, amezindua kampeni ya tamasha la utalii awamu ya pili, "Same Utalii Festival", ambalo...
SERIKALI KUJA NA MRADI WA KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME VITONGOJINI- MHE. KAPINGA
๐ Kuhusisha transfoma za kVA50, 100 na 200
๐ Vitongoji ambavyo havijapata umeme kufikiwa
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia kuanza mradi...
CBWSO,RUWASA WAPEWA RUNGU KUSIMAMIA UPANDAJI MITI VYANZO VYA MAJI.
Na Boniface Gideon, TANGA
MKUU wa mkoa wa Tanga Balozi Dkt.Batilda Buriani amesema Serikali mkoani humo kupitia Wakala wa Usambazaji Maji vijijini na Usafi wa...
IDADI YA ABIRIA WANAOSAFIRI NDANI YA ZIWA VICTORIA YATARAJIWA KUONGEZEKA MWAKANI
Na Mwandishi Wetu.
Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka ujao, kutokana na miradi mikubwa ya upanuzi wa bandari na...
TENGENI BAJETI KABLA YA KUTWAA ARDHI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema taasisi yoyote ambayo inahitaji kutwa ardhi ambapo wananchi wanaishi au wanafanya shughuli mbalimbali za maendeleo lazima iwe imetenga bajeti...















