Thursday, June 25, 2026
Home 2024 March

Monthly Archives: March 2024

WATUHUMIWA 3 WAKUTWA NA PIKIPIKI 32 ZA WIZI

0
Na Magrethy Katengu J Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Watuhumiwa 3 wakiwa na Pikipiki 32 walizoibiwa huku 13 zikitambuliwa na...

CHOMOKA NA BAJAJI UKIBASHIRI NA MERIDIANBET KUPITIA AKAUNTI YA TIGO PESA

0
Na Magrethy Katengu Kampuni inayoongoza kwa kubashiri MERIDIANBET kwa kushirikiana na kampuni inayotoa malipo kwa njia ya simu Tigopesa wamezindua promotion mpya ya ''Chomoka na...

KIBALI CHATOLEWA UJENZI BARABARA MUSOMA-MAKOJO-BUSEKERA KILOMETA 42 KIWANGO CHA LAMI

0
-WAJUMBE BODI YA BARABARA WAWAPONGEZA MENEJA TANROADS, TARURA Na Shomari Binda-Musoma WAKALA wa barabara nchini TANROADS Mkoa wa Mara wamekihakikishia kikao cha bodi ya barabara mkoa...

WAKAAZI NYALUHAMA WAOMBA KUFUKIWA KWA SHIMO

0
WAKAZI wa Nyaluhama kata ya Buhongwa Jijini Mwanza wameomba Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuwasaidia kufukia shimo linalohatarisha usalama wa watu katika eneo lao...

BODI CHAMA CHA USHIRIKA CHAPAKAZI KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO MTWARA

0
Na Mwandishi wetu, Kibiti MWENYEKITI wa Chama Kikuu Cha Ushirika Mkoa wa Pwani Mussa Mng'elesa ameahidi kupeleka bodi ya chama Cha Ushirika cha Msingi Chapakazi...

TBS NA WATAALAM WA VIWANGO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA KUJADILI NA KUWEKA MFUMO MAALUM WA...

0
Na Mwandishi Wetu Shirika la Viwango Tanzania ( TBS )  limeandaa Mkutano wa Siku nne na wataalam ( Trainers ) wa kila nchi hasa nchi...

WANANCHI JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WAMSHUKURU WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWATEMBELEA

0
Na Shomari Binda-Musoma WANANCHI katika jimbo la Musoma vijijini wamemshukuru Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa kuwatembelea na kuahidi kuendelea kujengwa kwa kiwango cha lami Barabara...

WANAWAKE KATA YA KITAJI WAPELEKA MAHITAJI KITUO CHA AFYA NYASHO

0
Na Shomari Binda-Musoma JUMUIYA ya Wanawake (UWT) Kata ya Kitaji wamewatembelea na kusaidia sehemu ya mahitaji kwa wanawake wanaopata huduma na kujifungua kituo cha afya...

MUHEZA KWANZA WAPIGA JEKI VIFAA VYAKUJIFUNGULIA VITUO VYA AFYA MUHEZA

0
Na Boniface Gideon, MUHEZA Shirika lisilo la kiserikali la Muheza kwanza mwishoni mwa wiki limetoa msaada wa vifaa vya kujifungulia kwa akina mama zaidi ya...

KILANGO AWATAKA VIONGOZI SAME KUSHIRIKIANA KULETA MAENDELEO

0
Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mbunge wa jimbo la Same Mashariki Mkoani kilimanjaro, Anne Kilango amewataka viongozi jimboni hapo kushirikiana kwa pamoja kusimamia miradi ya maendeleo...