Home 2023
Yearly Archives: 2023
SPIKA DKT. TULIA AWASILI NCHINI ITALY KWA ZIARA YA KIKAZI
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 22 Julai, 2023 amewasili katika Jiji la Roma Nchini...
YANGA TAWI LA MARA NA BENKI YA NMB WATOA SADAKA KWA WATOTO WENYE UHITAJI
Na Shomari Binda-Musoma
VIONGOZI, wanachama na mashabiki wa timu ya Yanga tawi la Mara kwa kushirikiana na benki ya NMB wametoa sadaka ya vitu mbalimbali...
TANGA UWASA YAKABIDHI VYOO SHULE MSINGI NA SEKONDARI PANGANI
Na Boniface Gideon, TANGA
MAMLAKA ya maji Safi na usafi wa Mazingira Tanga (Tanga uwasa) jana imekabidhi vyoo kwa shule za msingi na sekondari Funguni...
DADA MPISHI AONDOKA NA MILIONI YA TIGO CHA WOTE ( + VIDEO)
WAWEZA KUTAZAMA VIDEO HAPA
https://www.youtube.com/embed/h82H_Mimmco
Na Mwandishi Wetu.
Saada Omary Mfanyabiashara ya Upishi, Mkazi wa Ilala Jijini Dar Es Salaam ni miongoni mwa washindi wa Milioni Moja, ...
DKT. MPANGO AMETOA WITO KWA WATANZANIA KUJIEPUSHA NA KUTOA FIGO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa watanzania hususani vijana kujiepusha na kutoa figo zao...
TANZANIA NCHI MWENYEJI WA MKUTANO WA RASLIMALI WATU UTAKAOHUDHURIWA NA MARAIS WOTE BARA LA...
Na Magrethy Katengu
Tanzania ni mwenyeji wa Mkutano wa masuala ya raslimali watu wa Marais wa bara la Afrika na unaotarajiwa kuhudhuriwa na wageni wageni...
CCM MKOA WA MARA KUJENGA UKUMBI WA KISASA WA MIKUTANO KWA MILIONI 654
Na Shomari Binda-Musoma
CHAMA cha Maprnduzi ( CCM) mkoa wa Mara kimeanza ujenzi wa ukumbi wa mikutano na sherehe mbalimbali utakao ghalimu kiasi cha shilingi...
BOPOA wataka Elimu kutolewa ziwani kuepusha ajali
Na Neema Kandoro,Mwanza
WAMILIKI wa Boti na Yadi (BOPOA) Kanda ya Ziwa imeomba mamlaka zinazohusika kutoa elimu kwa watumiaji wa maji kuepuka kuingilia njia za...
WHO YATOA MILIONI 855 KWAAJILI YA UTAFITI WA KITAIFA WA VIASHIRIA VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA
Na. Catherine Sungura, Dodoma
Shirika la Afya Duniani (WHO) kuipatia Tanzania fedha Za kitanzania milioni 855 kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa wa...













