Home 2023
Yearly Archives: 2023
TPDC KUJENGA MIUNDOMBINU YA KUCHAKATA GESI NA KUISAFIRISHA MPAKA DAR ES SALAAM
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC imeweza kujenga miundombinu ya kuchakata gesi na kusafirisha gesi asilia kutoka Madimba Mtwara...
TANZANIA NA NETHERLANDS ZAJADILI KUENDELEZA USHIRIKIANO
Na Benny Mwaipaja, New York
Netherlands imeahidi kuendeleza ushirikiano na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kijamii ikiwemo utekelezaji wa miradi ya kimkakati itakayo...
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA SITA (6) WA KAMATI MAALUM YA MAWAZIRI WA FEDHA, MIPANGO...
Na. Joseph Mahumi, WF, Nairobi
Tanzania imeshiriki Mkutano wa Sita wa Kamati Maalum ya Mawaziri wa Fedha, Mipango ya kiuchumi na Mtamangano wa Afrika, uliobeba...
MAKAMU WA RAIS MAAGIZO KWA WAZIRI WA KILIMO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewaasa wananchi wa mkoa wa Njombe pamoja na wakulima kwa ujumla...
DKT. MPANGO AMEWAASA WATANZANIA KUTUMIA FURSA YA MIKUTANO YA KISIASA KUFANYA SIASA ZA KISTAARABU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewaasa watanzania kutumia fursa ya mikutano ya kisiasa kufanya siasa za...
Kampeni ya Kili Challenge 2023 kuchochea malengo ya kuzifikia SIFURI TATU-WAZIRI MHAGAMA
Na Mathias Canal, Moshi-Kilimanjaro
Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya Virusi Vya UKIMWI ambapo mwaka huu mpya wa fedha wa 2023/2024...
N/WAZIRI NDERIANANGA AGAWA MITUNGI YA GESI ROMBO
Na Mathias Canal, Rombo-Kilimanjaro
Mbunge wa Viti maalumu Mhe Ummy Nderiananga ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) ameunga...
DAWA ASILIMIA 100 ZAPATIKANA ZAHANATI YA NYAKATO JIMBO LA MUSOMA MJINI
Na Shomari Binda-Musoma
UPATIKANAJI wa dawa na vifaa tiba kwa ngazi ya zahanati vimeelezwa kupatikana Kata ya Nyakato jimbo la Musoma mjini kwaajili ya huduma...
Watanzania watakiwa kujituma ili kuleta Maendeleo
WATANZANIA wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili waweze kupata mafanikio ya kiuchumi kutokana na shughuli wazifanya kwani serikali ya awamu sita imeboresha mazingira mazuri...
WAREMBO 20 MISS TANZANIA WAPAGAWA KISA MERCEDES BENZ
WAREMBO 20 wabaki vinywa wazi mara baada ya kutangazwa rasmi zawadi ya Miss Tanzania gari aina ya Mercedes benz yenye thamani ya Shilingi Milioni...













