Home 2023
Yearly Archives: 2023
MATAPELI TUMA KWA NAMBA HII WADAKWA TANGA.
Na Boniface Gideon, TANGA
Matapeli 11 wanaojihusisha na kutuma ujumbe wa Simu maarufu ' PESA HIYO TUMA KWENYE NAMBA HII JINA ..' wamekamatwa na jeshi...
TANZANIA NA ZANZIBAR KUSHIRIKIANA KWENYE SEKTA YA MADINI
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano...
CHUO KIKUU SUZA CHAJA NA FUSRA MPYA YA KOZI IKIWEMO SHAHADA YA AWALI YA...
Na Magrethy Katengu
Chuo Kikuu Cha Taifa, Zanzibar (SUZA) kimekuja na fursa mpya programme {kozi} mbili ikiwemo ya shahada ya awali ya sayansi ya maabara...
SERIKALI YAJIDHATITI KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAWEKEZAJI WA MADINI
Na Magrethy Katengu
Wizara ya Madini imesema itahakikisha inaweka mipango thabiti kutatua baadhi ya changamoto zilizopo kwenye Sekta ya Madini ikiwemo miundombinu zinatatuliwa kwa wakati...
UDOM KUDAHILI WANAFUNZI WANAOHITAJI KUJIUNGA NA CHUO WAFIKIA 5000 NDANI YA SIKU MBILI ZA...
Na Magrethy Katengu
Chuo kikuu Cha Dodoma UDOM chasema tangu maonyesho yaanze mwitikio ni mzuri kwani wamefanikiwa kudahili wanafunzi zaidi ya 5000 wanahitaji kujiunga na...
WIZARA YA MAJI YAMKUBALIA MATHAYO KUFIKISHA MAJI KWA ASILIMIA 100 JIMBO LA MUSOMA MJINI
Na Shomari Binda-Musoma
WIZARA ya Maji imekubali ombi la mbunge wa jimbo la Musoma mjini kutoa kiasi cha shilingi milioni 309 kukamilisha kufikisha maji kwenye...
UMMY: TUNAWASHUKURU MADAKTARI BINGWA KUTOKA UJERUMANI KWA MSAADA WAO KWA WATANZANIA
Na Boniface Gideon, Tanga
WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu kwaniaba ya Serikali ya Tanzania amewashukuru Madaktari Bingwa 15 ambao wamejitolea kuwahudumia Wagonjwa waliopata matatizo ya...
WANAFUNZI MSIOGOPE KUSOMA VYUO VYA NJE
Na Magrethy Katengu
Watanzania wameshauriwa kutoogopa kuwapeleka watoto wao kusoma vyuo vikuu vya nje ya nchi kwa kuhofia gharama kubwa za mahitaji mbalimbali ikiwemo ada...
BILIONI 3 ZA RAIS SAMIA KUTUMIWA NA TARURA KUFUNGUA BARABARA NA UJENZI WA MADARAJA...
Na Shomari Binda-Musoma
ZAIDI ya shilingi bilioni 3 zinatarajiwa kujenga barabara kilometa 96, madaraja 8 na kalavati 30 ndani ya jimbo la Musoma mjini.
Fedha hizo...
BINGWA MSIMU WA PILI TV3 BILA CHENGA
SHINDANO la Bingwa Msimu wa pili latambulishwa Watu maarufu mitandao ya kijamii wajitosa , Washiriki 20 kuingia kambini Julai 30,2023 Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza...













