Thursday, May 7, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

BENKI YA TCB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI SHULE MSINGI MASIWANI TANGA

0
NA BONIFACE GIDEON, TANGA BENKI ya Taifa ya Biashara (Tanzania Commercial Bank) leo imekabidhi Vifaa vya vya Ujenzi katika Shule ya Msingi Masiwani iliyopo kata...

FURSA YA UWEZESHAJI KIUCHUMI KWA WATU WENYE ULEMAVU-SIGHTSAVERS

0
Sightsavers Tanzania Inatekeleza mradi wa uwezeshaji kiuchumi kwa watu wenye Ulemavu, Lengo ni kujenga fursa sawa katika upatikanaji wa ajira na kujiajiri kwa watu...

WAZIRI UMMY AFURAHISHWA NA MIRADI YA TANGA YETU

0
Na Boniface Gideon, TANGA MBUNGE wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu amesema kuwa kupitia fursa ya uchumi wa bluu wananchi wa Jiji la Tanga...

MBUNGE MATHAYO APONGEZA KAZI ZILiZOFANYWA NA TARURA JIMBO LA MUSOMA MJINI

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma Mjini Vedastus Mathayo amepongeza kazi nzuri iliyofanywa na Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA) wilaya ya...

DIT KUFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI KATIKA MAONESHO YA 18 YA ELIMU YA JUU, SAYANSI...

0
 Na Mwandishi Wetu. Taasisi ya Teknolojia Dar Es Salaam ( DIT ) inashiriki katika maonesho ya 18 ya Vyuo vya Elimu ya Juu Nchini yanayofanyika...

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA 6 WA WATAALAMU WA NCHI WANACHAMA WA AU

0
Na. Joseph Mahumi, Nairobi.  Naibu Katibu Mkuu - Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, ameongoza ushiriki wa Tanzania katika Mkutano wa 6 wa Wataalamu...

“HAKUNA NCHI WALA BANDARI INAYOUZWA, WAPUUZENI WENYE NIA MBAYA” DKT. TULIA

0
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi kupuuza hoja...

SERIKALI MKOANI KAGERA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WADAU WA MICHEZO ILI KUPIGA HATUA ZAIDI...

0
Na Theophilida Felician Kagera. Serikali ya Mkoa Kagera imeeleza kuwaunga mkono wadau wamichezo mkoani humo ili kuinua juu kiwango cha vipaji vya michezo kwa wananchi...

MGORE ACHANGIA THAMANI ZA OFISI CCM TAWI LA KIARA B

0
Na Shomari Binda-Musoma MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Mgore Miraji amechangia thamani za ofisi ya Chama cha Mapinduzi ( CCM)...

RC MAKALLA AIKABIDHI RASMI HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA TIMU YA SOKA YA PAMBA...

0
Asema kipaumbele chake ni Mwanza kuwa na timu ya Ligi Kuu Mwanza ina vipaji vya soka,viwanja vizuri vya mpira na Chuo cha michezo Malya. Uendeshaji Michezo...