Home 2023
Yearly Archives: 2023
TAN WARRIORS SPORTS ACADEMY WAREJEA NCHINI WAKITOKEA ITALY ,WAANIKA MAFANIKIO MAKUBWA (+ VIDEO)
TAZAMA VIDEO YA TUKIO ZIMA HAPA
https://www.youtube.com/embed/B_BFIBVN4nU
Tan Warriors Sports Academy ya mkoani Morogoro inayojihusisha na kuwaendeleza Vijana katika mpira wa Miguu , Basketball , Riadha...
WANANCHI WASIKITISHWA KUAMBIWA WAVAMIZI WA ENEO WALILOISHI ZAIDI YA MIAKA 70 ILIYOPITA MANISPAA YA...
Na Shomari Binda-Musoma
WAKAZI wa eneo la mtaa wa Baruti Kata ya Nyakato manispaa ya Musoma wamesikitishwa kuitwa wavamizi kwenye eneo waliloishi zaidi ya miaka...
MBARAWA: UMUHIMU WA KUTOA ELIMU KWA WADAU MBALIMBALI
Waziri wa ujenzi na uchukuzi Prof.makame mbarawa amesema Tarehe 10 juni mwaka huu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liliridhia Azimio la makubaliano...
MAMA MUUZA MKAA ALAMBA MILIONI 1 YA “TIGO CHA WOTE”. ( + VIDEO)
TAZAMA VIDEO YA TUKIO ZIMA HAPA
https://www.youtube.com/embed/70CV8KPc0SE
Na Mwandishi Wetu.
Ikiwa ni Takribani wiki Tatu sasa tangu kampuni ya Mawasiliano ya Tigo izindue Kampeni yake ya CHA...
SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA MZEE MKALI-RAIS SAMIA
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuenzi na kuthamini mchango wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee mkoa wa Dar es Salaam, Mzee Hemedi...
MAONYESHO SABASABA YA 47 BRELA WAPATA TUZO 3
Na Magrethy Katengu
Wakala wa Usajili wa biashara na lessni BRELA Wameshukuru waliowapigia kura hadi kupata tuzo tatu ambazo ya kwanza ni tuzo ya Udhamini,...
MASHIRIKA YATAKIWA KUONGEZA UFANISI KATIKA UZALISHAJI
Na Beatrice Sanga-MAELEZO
Serikali kupitia Ofisi ya Hazina imesema itahakikisha kila Shirika au Taasisi iliyopo chini ya ofisi yake inazalisha kwa ufanisi na kuongeza mapato...
DC SIMA ALIPONGEZA NA KULISHUKURU SHIRIKA LA TEKLA, LATOA MSAADA KWA WATOTO 50 WENYE...
Na Theophilida Felician Kagera.
Mkuu wa wilaya Bukoba Erasto Sima amelipongeza shirika linalojihusisha na masuala ya watu wenye ulemavu nchini TEKLA kwa namna lilivyowiwa na...
MWENYEKITI WA ALAT TAIFA AREJEA KWA KISHINDO AANZA MAJUKUMU RASMI BAADA KUKUTWA NA AJALI...
Na Theophilida Felician Kagera.
Mwenyekiti wa ALAT Taifa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera Mhe Murshid Ngeze amerejea tena kuanza utekelezaji wa usimamizi...
EPSON YAFUNGUA KITUO CHA KWANZA NA HUDUMA YA ZIADA AFRIKA MASHARIKI JIJINI DAR ES...
Kampuni inayoongoza uliwenguni kwa vifaa vya printing na projectors EPSON, imezindua kituo cha kwanza cha uzoefu na huduma za ziada Afrika Mashariki jijini Dar...













