Thursday, May 7, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU , SAYANSI NA TEKNOLOJIA AFANYA ZIARA DIT KUSHUHUDIA...

0
https://www.youtube.com/embed/-D7jl02NfJM Na Adery Masta.  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Franklin Jasson Rwezimula Leo Julai 13 , 2023 amefanya ziara katika Taasisi ya...

MWEKEZAJI MAFUTA ALIZETI AWATAKA WAKULIMA KUONGEZA UZARISHAJI,ALIA UHABA WA MALIGHAFI

0
Na Boniface Gideon, MARA Mwekezaji wa kiwanda chakuchakata zao la Alizeti Nyihita Wilfred mwekezaji amewaomba Wakulima wa zao Hilo kuongeza uzarishaji wa zao Hilo ili...

ACB BENKI KUJIKITA KULETA MAPINDUZI YA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE

0
Na Mwandishi wetu Akiba Commercial Bank Plc( ACB ) imesema itahakikisha inaendelea kujikita kuleta mapinduzi ya utoaji huduma bora za kibenki hapa nchini kwa kuboresha...

WAZIRI UMMY MWALIMU AHITIMISHA ZIARA YAKE SIMIYU, AWAPONGEZA KWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA

0
Na. WAF - Maswa, Simiyu Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ahitimisha ziara yake ya siku Tatu ya kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo,...

MBIO MAARUFU ZA TIGO ZANTEL ZANZIBAR INTERNATIONAL MARATHON ZAZINDULIWA , KUFANYIKA OKTOBA 2023 (...

0
https://www.youtube.com/embed/aH13w7p8-cE Na Mwandishi Wetu ZANZIBAR, 11 Julai 2023 — Mbia Maarufu za TigoZantel Zanzibar International Marathon (ZIM) zimezinduliwa kwa msimu wa tatu , ambazo zitazofanyika mwezi Oktoba...

PBZ JIWEKEZENI MIFUMO IMARA KUMRAHISISHIA HUDUMA KWA WATEJA

0
Na Magrethy Katengu Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Ally Suleiman Ameir ameitaka benki ya Zanzibar PZB kujiwekeza kwenye Mifumo mizuri Imara ya Ulinzi yenye...

RPC TANGA AZINDUA ULINZI CUP

0
Na Boniface Gideon, TANGA UTEPE wa michauano Kombe la ulinzi Cup umekatwa rasmi jana kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la Magomeni ambapo timu ya...

MWILI WA DIWANI CHARLES MWITA KUPUMZISHWA IJUMAA

0
Na Shomari Binda-Musoma MWILI wa aliyekuwa diwani wa Kata ya Mshikamano iliyopo manispaa ya Musoma,unatarajiwa kupumzishwa kwenye makazi yake ya milele ijumaa julai 14 Mwenyekiti wa...

TASAC YAFANYA SENSA YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI NA SADC YA VYOMBO VIDOGO VYA MAJINI

0
Dar es salaam, Na Emmanuel Kawau. Shirika la Uwakala wa Meli Nchini (TASAC) lazindua ripoti ya sensa ya vyombo vidogo vya usafiri majini ambayo ni ya...

SERIKALI YAFURAHISHWA MAENDELEO KITUO CHA SAYANSI TANGA ‘PROJECT INSPIRE’

0
Na Boniface Gideon, TANGA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolph Mkenda ameonesha kufurahishwa na Maendeleo makubwa ya kuinua Sayansi mkoani Tanga baada ya...