Home 2023
Yearly Archives: 2023
MADAKTARI BINGWA KUTOKA UJERUMANI KUWASILI TANGA JULAI 13, KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA
Na Boniface Gideon- TANGA
MADAKTARI Bingwa kutoka Nchini Ujerumani wanatarajiwa kuwasili Mkoani Tanga Julai 13 mwaka huu ambao wanakuja kwa ajili ya kutoa huduma za...
WANANCHI ENDELEENI KUTOA USHIRIKIANO KWA JESHI LA POLISI ILI WAHARIFU WADHIBITIWE
Na Magrethy Katengu
Kamisha wa Jeshi la Polisi Suzan Kaganda amewashauri Wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ili kusaidia hali ya ulinzi na...
JK NA MKEWE WATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma Kikwete wamezuru jamii ya Wahadzabe wanaoishi katika Kijiji cha Endamagha kilichopo Kata...
TANZANIA KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU 2030 UMOJA WA MATAIFA
Na Benny Mwaipaja, New YorkTanzania inatarajia kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Hiari ya Nchi ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, katika Jukwaa...
TBS YATOA ELIMU KUHUSU MASUALA YA UDHIBITI UBORA KWA WADAU SABASABA
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa huduma kwa wajasiriamali ,wafanyabiashara na wadau mbalimbali wa Viwango katika Maonesho ya 47 ya Biashara...
JESHI LA POLISI MAONYEHO YA SABASABA WATOA ELIMU KWA WANANCHI KUPITIA VITENGO MBALIMBALI NAMNA...
Na Magrethy Katengu
JESHI la polisi Tanzania katika maonyesho ya biashara sabasaba watoa Elimu ya Masuala mbalimbali kwa wananchi kupitia vitengo vyao ikiwemo Dawati la...
ZAIDI YA MADEREVA 1000 WAMESAJILIWA NA KUPEWA VYETI NA LATRA
Na Magrethy Katengu
Mamlaka ya Usafiri Ardhini LATRA imewataka Madereva wote kwenda Banda la Mainyesho kusajiliwa katika mfumo kabla ya Julai 30 mwaka huu kisha...
TIC KUDUMISHA MAHUSIANO YA UWEKEZAJI NA INDIA
Na Beatrice Sanga - MAELEZO
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesaini Mkataba wa Makubaliano (Momerundum of Understanding (MoU)) na nchi ya India kupitia Idara ya...
MADINI WAANISHA FURSA KWA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA
Sekta ya Madini imekuwa miongoni mwa Sekta zilizopata nafasi ya kunadi fursa zake za uwekezaji kwa ujumbe wa Wawekezaji kutoka Jimbo la Haryana nchini...
SERIKALI KUENDELEA KUFANYIA MABORESHO SEKTA YA MICHEZO ILI KUSAIDIA LUGHA YA KISWAHILI KUJULIKANA KIMATAIFA
Na Magrethy Katengu
Waziri wa Tamaduni Sanaa na Michezo Balozi Pindi Chana amesema Serikali inaendelea na jitihaza za kuhakikisha maboresho yanafanyika hasa sekta ya michezo...













