Thursday, May 7, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

MCHANGO WA MBUNGE MUHONGO WATAMBULIWA UJENZI WA SEKONDARI MPYA YA BWAI

0
Na Shomari Binda-Musoma MCHANGO wa mbunge wa jimbo la Musoma vijijini,Prof.Sospeter Muhongo, katika sekta ya elimu umetambuliwa na kupongezwa kwa juhudi zake. Katika taarifa kwa kiongozi...

RAIS SAMIA: TANZANIA ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA RAFIKI YA UWEKEZAJI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inaendelea kuweka mazingira rafiki kwa ajili ya uwekezaji na biashara na...

PUNGUZENI SEMINA, WANANCHI WAPATE HUDUMA VITUONI

0
Na. WAF - Bariadi, SimiyuWaziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa...

MCHANGO WA MBUNGE MUHONGO WA SHUGHULI ZA MWENGE WAPOKELEWA

0
Na Shomari Binda-Musoma MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Musoma vijijini Denis Ekwabi amepokea na kuwasilisha mchango wa mbunge Prof.Sospeter Muhongo kufanikisha shughuli...

T-PESA APP YAZINDULIWA

0
Na Magrethy Katengu KAMPUNI ya Simu ya TTCL imezindua huduma ya T-PESA APP ambayo itawarahisishia wateja wa mtandao huo kupata huduma mbalimbali za malipo kwa...

WAZIRI MKUU AMTAKA DMO MTWARA ASIMAMIE UJENZI KITUO CHA AFYA MKUNWA

0
*Akerwa kukuta vifaa vimejaa ndani, hakuna uangalizi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Dkt. Matayo Malaika ahakikishe anasimamia ujenzi wa...

VIONGOZI, WANACHAMA CCM WAMLlLIA DIWANI WA KATA YA MSHIKAMANO CHARLES MWITA

0
Na Shomari Binda-Musoma VIONGOZI na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha diwani wa Kata ya Mshikamano manispaa ya Musoma,...

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE ARIDHISHWA NA MRADI WA MAJI ULIOTEKELEZWA NA MUWASA

0
NA Shomari Binda-Musoma KIONGOZI wa mbio za mwenge,Abdara Shaibu ameridhishwa na mradi wa maji uliotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma...

BALOZI WA ALGERIA ATEMBELEA BANDA LA BRELA

0
Balozi wa Algeria nchini Tanzania Mhe. Ahmed Djellal ametembelea Banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), leo tarehe 8 Julai, 2023...

SERIKALI YA ZANZIBARI KUINUA WANANCHI WAKE KUPITIA UCHUMI WA BLUU

0
.Na Magrethy Katengu Serikali ya Zanzibari iliyo chini ya Rais Ally Hassan Mwinyi imekuwa ikiongeza jitihada za kusaidia uchumi wa bluu wa Bahari usaidie wananchi...