Thursday, May 7, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

MGORE AKABIDHI MIAMVULI YA KIVULI KWA WAJASILIAMALI MUSOMA

0
Na Shomari Binda- Musoma MJUMBE wa Baraza Kuu na Kamati ya Utekeleza wa Jumuiya ya Wazazi ya ( CCM) Taifa, Mgore Miraji ametoa msaada wa...

WAZIRI JAFO AIPONGEZA KADERES KWA KUANZISHA KILIMO CHA MITI YA HEWA UKAA KAGERA

0
Na Theophilida Felician Kagera. Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Saidi Jafo ameipongeza kampuni ya Kaderes pamoja na Rabo...

JIUNGENI NA VETA MPATE UJUZI WA KUZALISHA BIDHAA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZINAZOUZIKA NDANI NA...

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imewashauri wananchi wote kupenda bidhaa zinazozalishwa Tanzania kwani zimeboreshwa kwa kutumia Teknolojia ya...

TUNAPASWA KUTUMIA VYEMA SOKO LA INDIA-WAZIRI OMAR

0
Na Beatrice Sanga-MAELEZO Serikali imesema kuwa itahakikisha inaongeza ufanyaji biashara na nchi ya India pamoja na bara la Asia kwa ujumla katika kilimo, teknolojia viwanda...

SERIKALI YATOA SH. BILIONI 208 KUJENGA SEKONDARI MPYA NCHINI

0
Serikali imetoa zaidi ya sh. bilioni 208 ili zitumike kujenga shule mpya za sekondari kwenye Halmashauri zote hapa nchini ikiwa ni maandalizi ya kupokea...

UJENZI KITUO CHA AFYA KISIWA CHA RUKUBA MUSOMA VIJIJINI WAKAMILIKA

0
Na Shomari Binda-Musoma UJENZI wa kituo cha afya katika kisiwa cha Rukuba kilichopo Kata ya Rukuba umekamilika na kutarajiwa kuanza kutoa huduma hivi karibuni. Kwa sasa...

EPZA YAONESHA FURSA KATIKA SEKTA YA KILIMO KWA KUYAONGEZEA THAMANI MAZAO

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje EPZA imekuwa Mstari wa mbele kuwaonesha fursa Wakulima kwa kuongeza mazao yao...

WAZIRI WA MAMBO YA NJE INDIA AFANYA ZIARA DIT , AWAPONGEZA KWA TEKNOLOJIA (...

0
WAWEZA KUTAZAMA VIDEO PIA https://www.youtube.com/embed/qAeVGXcb85k Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imepongezwa kwa kuwa miongoni mwa Taasisi za Elimu Tanzania yenye ushirikiano mwema na nchi...

VIKWAZO VYA UWEKEZAJI VIMEONDOLEWA KARIBUNI BANDA LA SABASABA EPZA MJIONEE FURSA

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya Maeneo ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje EPZA imesema serikali serikali iliyo chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani imeondoa...

WAZIRI MKUU ANENA: UWEKEZAJI UNA FAIDA

0
*Atembelea bandari ya Mtwara, aagiza wanunuzi wa mikoa ya Kusini wachukue mafuta kutoka Mtwara WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uwekezaji una faida na kwamba suala...