Home 2023
Yearly Archives: 2023
UJENZI WA GATI MPYA BANDARI YA MTWARA UMEGHARIMU TSH. BILIONI 157.8
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Bandari ya Mtwara ambapo pia amekagua gati mpya yenye urefu wa mita miatatu ikiwa na uwezo wa kuhudumia meli...
SERIKALI INATAKA WANANCHI WAPATE HUDUMA HUKO WALIKO – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inataka kuona wananchi wakipatiwa huduma za afya huko waliko bila kulazimika kuzifuata mbali.
“Tumejenga vituo...
SEKTA YA MADINI SEHEMU SAHIHI YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
-Dkt. Kiruswa awataka Watanzania kutembelea banda la Wizara ya Madini
Dar es Salaam
Sekta ya Madini imekuwa ni sehemu sahihi ya biashara na uwekezaji kutokana na...
KATIBU MKUU DKT. HASHIL APONGEZA UTENDAJI WA BRELA SABASABA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdalah amepongeza utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), katika...
MAJALIWA: THAMANI YA MIKOPO TADB IMEFIKIA BILIONI 317
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema thamani ya mikopo inayotolewa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeongezeka kutoka shilingi milioni 776 mwaka 2015...
APRM; SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAJITAHIDI KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Na Magrethy Katengu
Katibu Mtendaji APRM Tanzania Mpango wa hiari wa nchi za umoja wa Afrika kujipima kwa vigezo vya Utawala bora Lamau Mpolo amesema...
DKT. MPANGO AMETOA WITO KWA WAJAWAZITO KWA KUSINDIKIZWA NA WENZI WAO KUHAKIKISHA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wajawazito kwa kusindikizwa na wenzi wao kuhakikisha wanahudhuria...
KISWAHILI FURSA YA KIUCHUMI-MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuzungumza na kusoma lugha ya Kiswahili kwa kuwa lugha hiyo ni fursa ya kiuchumi Duniani.
“Kuwa mzawa...
SENYAMULE ATOA MSUKUMO AGENDA YA MAZINGIRA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amewataka Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Makatibu Tawala Wasaidizi wa Idara mbalimbali za Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kushirikiana...
BI.MASHAVU AMEWASIHI WATAKWIMU WA SKULI ZA MSINGI NA WALIMU KUJIFUNZA KWA BIDII.
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.
MKURUGENZI Idara ya Elimu Mbadala na Watu Wazima Zanzibar, Bi.Mashavu Ahmada Fakih, amewasihi watakwimu wa skuli za msingi na walimu nchini kujifunza ...













