Home 2023
Yearly Archives: 2023
Tanesco mbioni kuanza kutumia ‘Mita Janja’
Na Beatrice Sanga-MAELEZO
SERIKALI imesema kuwa inaendelea na majaribio ya matumizi ya Mita Janja katika kununua umeme nchini huku ikitarajia ndani ya miezi sita ijayo...
TIGO PESA KUKOPESHA HADI MILIONI 2, NIVUSHE PLUS ( + VIDEO)
https://youtu.be/nQvHe0cGEv8?si=g2x_I3EXzHmTpVz8
TIPER KUTOA GAWIO LA BILIONI 2 .5 KWA SERIKALI.
Na Magrethy Katengu
Serikali imepokea Gawio la Shilingi bilion 2.5 kutoka kampuni ya Uhifadhi mafutaTanzania International Petroleum Reserves(TEPER) ambapo fedha hizo zitakwenda kutekeleza miradi mbalimbali...
DKT. KIJAJI – SERIKALI ITAENDELEA HATUA KWA HATUA KUTATUA CHANGAMOTO WANAZOZIPATA WENYE VIWANDA
Waziri wa Viwanda na Bashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali itaenda hatua kwa hatua kuhakikisha changamoto wanazopata wenye viwanda zinatatuliwa na kushughulikiwa...
KINANA-RAIS SAMIA HAWEZI KUUZA BANDARI.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdurhaman Kinana, amezungumzia mjadala wa uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam huku akiweka wazi...
KINANA AKUBALI KASI YA MAENDELEO MKOA WA MARA
Na. Shomari Binda-Musoma
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana ameonyeshwa kulidhishwa na kasi ya maendeleo inayoendelea mkoa wa Mara.
Kauli hiyo ameitoa kwenye...
RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AELEZA MAMBO MANNE BARA LA AFRIKA KUWA NA UCHUMI...
Na Magrethy Katengu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema bado bara hili limeendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo, uhaba...
NCHI 43 ZASHIRIKI MKUTANO WA RASIMALI WATU AFRIKA TANZANIA
NA MWANDISHI WETU
NCHI 43 za bara la Afrika zashiriki mkutano wa Rasilimali Watu Afrika ambao unafanyika Tanzania kuanzia Julai 25 na 26 katika Kituo...
KIVUMBI NA JASHO SHIGONGO CUP TIMU 22 KUTOANA JASHO BUCHOSA
TIMU 22 kutoka kata 21 za Jimbo la Buchosa Wilayani Sengerema mkoani Mwanza zitachuana kusaka vipaji vya vijana wa Jimbo Hilo kutoka michuano ya...
KAMATI YA MAJALIWA YAKUTANA NA WAFANYABIASHARA TANGA
Na Boniface Gideon,Tanga
JUMUIYA ya Wafanyabishara nchini july 26 imekutana na Wafanyabishara wa Mkoa wa Tanga kwaajili ya kusikiliza kero pamoja na kuchukua maoni mbalimbali...













