Home 2023
Yearly Archives: 2023
WORLD VISION WATOA MSAADA WA VYAKULA WILAYA MKINGA.
Na Boniface Gideon, Tanga
Jumla ya Kaya 229 kutoka Vijiji mbalimbali wilayani Mkinga Mkoani Tanga zimepatiwa Msaada wa Chakula kupitia Shirika la World Vision ikiwa...
KINANA ASIFU UZALENDO, UTAIFA WA NYERERE, JENERALI MUSUGURI.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amezulu kaburi la hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na...
WANANCHI KATA YA BUHARE WASHUKURU KUPATA DARAJA
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa Kata ya Buhare iliyopo manispaa ya Musoma wameishukuru serikali ya Jamhuri Muungano wa Tanzania kwa ujenzi wa daraja linalowaunganisha
Wakizungumza na...
TAASISI ZA ELIMU NA FEDHA ZATAKIWA KUSHIRIKIANA KUPATA SULUHU YA RASILIMALI WATU AFRIKA
Na Mwandishi wetu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema taasisi za kifedha za kikanda na kimataifa hazina...
CHONGOLO KUFANYA MKUTANO WA HADHARA JULAI 29,2023 DAR ES SALAAM
Na Magrethy Katengu
CHAMA cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar es salaam wanatarajia kufanya Mkutano Mkubwa wa hadhara Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Julai 29...
Dereva aliyesababisha vifo sita kikundi cha Aden Palace akamatwa
Jeshi la police mkoani mwanza linamshikilia Oswald kaijage binamungu miaka 39, mhandisi wa umeme katika mgodi wa Geita Gold Mining (GGM)aliyetoroka baada ya kusababisha...
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA URUSI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatatu, Julai 24, 2023) kwenda Urusi ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Pili...
MAENDELEO YANAYOONEKANA NCHINI NI MAELEKEZO YA ILANI, RAIS SAMIA-KINANA
Na Mwandishi Wetu, Babati
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amewaomba wana CCM nchi nzima kutambua kuwa kila mema yanayoonekana...
DR.CHAYA: MSIKUBALI UPOTOSHAJI WA WAZUSHI, BANDARI HAIUZWI
Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe. Dkt. Pius Chaya amewataka wananchi wake kupuuza upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusu suala la Bandari na kuzuka kauli za kwamba...
MAKAMU MWENYEKITI CCM TAIFA,ABDULRAHAMAN KINANA KUWASILI MARA KESHO
Na Shomari Binda-Musoma
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana, anatarajiwa kuwasili mkoani Mara kesho kufanya ziara ya siku moja.
Akizungumza ofisini kwake, Katibu...













