Home 2023
Yearly Archives: 2023
WABUNGE MARA WAWEKA KAMBI MAJIMBONI; MUHONGO, CHOMETE KUPISHANA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
WABUNGE kutoka mkoa wa Mara wameweka kambi kwenye majimbo yao na wale wa viti maalum kufatilia utekelezaji wa ilani na uhai wa...
Elimu, zana bora ni Muhimu kwa kilimo
Na Neema Kandoro, Mwanza
KUWAWEZESHA wakulima kwa elimu na zana bora kuendeshea kilimo chao ni njia pekee ya kuinua mapato kwenye sekta hiyo ambayo inaajiri...
Kampuni ya Seed -co yaja na Majibu ya Mkulima kuhusu ulimaji Bora na Wenye...
Kampuni ya seed- co imewataka wakulima kutembelea mabanda yao katika maonyesho ya nanenane yanayoendelea nyamhongoro Jijini mwanza.
Akizungumza Ayubu juma Bisaga bwana shamba na Afisa...
Kampuni ya Palijati imejipanga kuhudumia wakulima Mwanza
Akizungumza Noely Salinge Laizer ambae ni Afisa Mauzo na mwakilishi wa kampuni ya Palijati katika Maonesho ya Nanenane yanaendelea katika maeneo ya Nyamongoro Mwanza...
SIMBA KUHIFADHI NYARAKA ZAKE MAKUMBUSHO YA TAIFA.
Magrethy Katengu
Klabu ya Mpira ya Simba imesema itaendelea kuweka kumbukumbu za taarifa pamoja na Vielelezo vya klabu hiyo kwenye Makao Makuu Makumbusho ya Taifa...
LESENI ZA UDEREVA 8,237 DARAJA C NA E ZAZUILIWA KWA KUKOSA SIFA
Na Magrethy Katengu
Jeshi la Polisi Kikosi Cha Usalama barabarani limezuia leseni za Madereva 8,337 ambao hawana sifa ya kuwa ya kuwa na madaraja C...
SIMAMIENI MAPATO YA NDANI KUBORESHA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Ofisi ya Rais (TAMISEMI) ihakikishe kuwa mapato yatokanayo na mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi yanatengwa na yanatumika katika...
SIMAMIENI MAPATO YA NDANI KUBORESHA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Ofisi ya Rais (TAMISEMI) ihakikishe kuwa mapato yatokanayo na mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi yanatengwa na yanatumika katika...
GRUMENT FUND YATOA MSAADA JESHI LA POLISI MKOA WA MARA KUKABILIANA NA UHALIFU
Na Shomari Binda-Musoma
TAASISI ya Grument Fund inayoshughulika na masuala ya uhifadhi imesadia jeshi la polisi mkoa wa Mara usafiri wa bajaj maalum ya kubeba...
ZAIDI YA WATEJA ELFU 13 WAMEJISHINDIA MAMILIONI YA PESA NA ZAWADI KIBAO KAMPENI YA...
Na Mwandishi Wetu.
Ikiwa ni Takribani wiki sita sasa tangu kampuni ya Mawasiliano ya Tigo izindue Kampeni yake ya CHA WOTE yenye lengo la kuwasaidia...












