Thursday, May 7, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

MKUTANO WA HADHARA MKOA WA DAR ES SAALAM WANANCHI WAJIONEA WANAYOTENDEWA NA SERIKALI YAO...

0
Na Magrethy Katengu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Abbas Mtevu ametoa wito kwa wananchi wote kuachana kabisa na maneno ya...

TFNC WAAJIRI TOENI LIKIZO SIKU 84 AU 100 KWA MAMA MJAMZITO NA BABA SIKU...

0
Na Magrethy Katengu Taasisi ya Chakula na Lishe TFNC imewaimomba Waajiri kutoaa likizo Kwa mama mjamzito aliyejifungua mtoto mmoja siku 84 na zaidi ya mtoto...

AKINA MAMA WAHIMIZWA KUWANYONYESHA MAZIWA YA MAMA PEKEE WATOTO KWA MIEZI 6 TANGU KUZALIWA

0
Na Theophilida Felician, Kagera Wazazi hususani akina mama Mkoani Kagera wemekumbushwa na kuhimizwa kuwanyonyesha maziwa ya mama pekee watoto wao kwa kipindi cha miezi (6)...

MBUNGE MATHAYO AACHA MILIONI 3,400,000 KATA YA MSHIKAMANO AKIFATILIA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo ametoa kiasi cha shilingi milioni 3 na laki 4 kusaidia ujenzi wa ofisi ya...

HALMASHAURI TANGA JIJI KUWALIPA WAZABUNI SIKU SABA(7)

0
Na Boniface Gideon, Tanga UONGOZI wa Halmashauri ya Jiji la Tanga umeziagiza idara zake kwamba ihakikishe utaratibu mzuri wa kuwalipa wakandarasi wanaoingia mikataba ya kazi...

WASANII WAPIGWA MSASA MATUMIZI MKOPO WA MABILIONI YA SAMIA

0
Na Boniface Gideon, Tanga Mfuko wa Utamaduni na Sanaa nchini leo umetoa mafunzo kwa wasanii mbalimbali wa mkoa wa Tanga na nje ya mkoa huo,...

NHC YAZIDI KUIMARIKA, UJENZI WA MIRADI MBALIMBALI WAENDELEA

0
*Mapato yafikia Bilioni 257 kutoka billion 144 mwaka 2021/2022 *Sera ya Ubia Kupaisha Sekta ya Makazi Na Beatrice Sanga-MAELEZO Shirika la Nyumba nchini (NHC) limeeleza kuwa litaendelea...

RC MTANDA AFANYA MIKUTANO CHINI YA MITI KUSURUHISHA MGOGORO WA ARDHI

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara,Saidi Mtanda, amefanya mikutano na wananchi wa vijiji vya Romng'oroli wilayani Serengeti na Mikomarilo wilayani Bunda ili kumaliza...

RC MTANDA AFANYA MIKUTANO CHINI YA MITI KUSURUHISHA MGOGORO WA ARDHI

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara,Saidi Mtanda, amefanya mikutano na wananchi wa vijiji vya Romng'oroli wilayani Serengeti na Mikomarilo wilayani Bunda ili kumaliza...

TANZANIA KUANZISHA PROGRAMU JUMUISHI YA KUWATUMIA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII

0
Tanzania inakusudia kuanzisha programu Jumuishi ya Kuwatumia Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii yenye lengo la kuharakisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa...