Home 2023
Yearly Archives: 2023
WANAWAKE WAJASILIAMALI KATA YA MWIGOBERO WAMSHUKURU MBUNGE AGNESS MARWA
Na Shomari Binda-Musoma
WANAWAKE wajasiliamali wa Kata ya Mwigobero manispaa ya Musoma,wamemshukuru mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara,Agness Marwa,kwa kuwawezesha miamvuli kwaajili ya kujikinga...
WAAJIRI WATAKIWA KUTAMBUA HAKI YA WAFANYAKAZI KUNYONYESHA WAKIWA KAZINI NA KUWATENGEA ENEO MAALUMU
Na Magrethy Katengu
WAAJIRI wa wafanyakazi katika sekta rasmi na zisizo rasmi wamesisitizwa kuwatambua wakina mama wanaonyonyesha watoto kwa kuwatengea sehemu maalum na kuwapatia muda...
MBUNGE AGNES AWEZESHA MAKUNDI YA KIJAMII KATA YA MUGANGO MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa viti maalumu mkoa wa Mara,Agnes Marwa,amewawezesha vifaa mbalimbali wanawake na vijana ili kutimiza majukumu yao.
Vifaa hivyo yakiwemo majiko ya gesi,mifuko...
TEKNOLOJIA INAWEZA KUWA CHACHU KWA MAENDELEO YA WATANZANIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society (FCS) Francis Kiwanga, (wa pili kushoto), akiwa na Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustini Ndugulile pamoja na wadau...
NBC NA TIRA KUSHIRIKIANA UENDESHAJI AKAUNTI YA DHAMANA (TRUST ACCOUNT)
Na Magrethy Katengu
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) yatangaza ushirikiano na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) katika uendeshaji wa Akaunti ya dhamana...
UINGEREZA KUIBEBA BENDERA YA TANZANIA KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI, BIASHARA ZILIZOPO SEKTA YA MADINI
#Madini mkakati yapewa kipaumbele na Uingereza
#Wafanyabiashara wa madini Uingereza kushiriki Jukwaa la Kimataifa Sekta ya Madini mwezi Oktoba
Wizara ya Madini na Serikali ya Uingereza...
MILIONI 6 HADI 10 GHARAMA ZINAZOTUMIKA KUPANDIKIZA UUME.
Hospital ya Rufaa ya Benjamin Mkapa Dodoma imesema Kiasi cha Shilingi Milioni 6 hadi 10 gharama ambazo zinatumika katika huduma ya upandikizaji uume.
Akizungumza Agosti...
Maboresho muhimu kuepuka soko kuchukuliwa na Nchi Jirani
KUPUNGUA uwezo wa kupitisha shehena ya mizigo bandari ya Dar essalaam kwenda mataifa mengine kutasababisha washindani wa usafirishaji na Tanzania kuchukua fursa hiyo na...
ALIYETUKANA VIONGOZI WA SERIKALI MIKONONI MWA POLISI
Na Magrethy Katengu
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji kwa kina Selemani Agai Gaya (18) mkazi wa Kigamboni, kwa...
WACHIMBAJI WADOGO WASHAURIWA KUKOPA MIKOPO KUPITIA TAASISI ZA FEDHA NA KUACHANA NA MIKOPO UMIZA.
Na Joel Maduka Geita.
Wadau wa sekta ya madini, wafanyabisahara na wajasiriamali mkoa wa Geita wameombwa kutumia fursa za mikopo kutoka kwenye taasisi za kifedha...













