Thursday, May 7, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

MKATABA USIO NA KIKOMO NDIYO MZURI UNAVUNJIKA MUDA WOWOTE.

0
Na Dishon Linus Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msavatavangu katika kuendelea kuunga mkono uwekezaji unaofanywa na serikali chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa ufafanuzi...

FEDHA ZA UJENZI WA ZAHANATI ZASHTUKIWA KUTAFUNWA NA VIONGOZI Wa KITONGOJI ,MBUNGE AFICHUA MADUDU

0
Wananchi wa Kitongoji cha Kinyika, Kata yac Mkwese Manyoni wamelalamikia Viongozi wa Serikali kitongoji hapo kwa ucheleweshwaji wa ujenzi wa Zahanati ikiwa walishachangishwa na...

DED MOSHI AAGIZWA KUMCHUKULIA HATUA MHANDISI WA UJENZI KWA KUKWAMISHA MIRADI

0
Na: OR-TAMISEMI, Moshi Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya...

CCM YAWASHUKURU WANANCHI NA WANACHAMA WAKE KUWAPA USHIRIKIANO KATIKA ZIARA YAO

0
Chama cha Mapinduzi CCM kimewashukuru wanachama wake pamoja na wananchi kujitokeza kwa wingi katika ziara yake ya kikazi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM bara...

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU KUTOKOMEZA ULEMAVU WA KUTOKUONA

0
Na. Shaban Juma, Dodoma Serikali imetoa wito kwa wadau wa maendeleo nchini kushirikiana kwa karibu katika kuboresha huduma za afya ya macho ili kuzuia ulemavu...

KINANA: WAPINZANI JENGENI HOJA, ACHENI KEJELI KWA RAIS’.

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinanaa amewashauri na kuwakumbusha wanasiasa wa upinzani kuheshimu fursa ya maridhiano ya kisiasa iliyotolewa na Rais...

DIASPORA TUNZENI HESHIMA YA TANZANIA – MAJALIWA

0
*Awataka walitetee Taifa lao, watangaze fursa zilizopo nyumbani WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanadiaspora wa Tanzania wazingatie sheria za nchi wanazoishi ili waendelee kutunza heshima...

UTT AMIS yaita wananchi kuwekeza kisasa zaidi

0
*Yageuka kimbilio kwa wenye vipato tofauti, faida sasa Trilioni 1.5/- Na Beatrice Sanga-MAELEZO KAMPUNI ya Uwekezaji wa Mitaji ya Pamoja (UTT AMIS) imetoa rai kwa wananchi...

WAZIRI MKUU AHUDHURIA GWARIDE LA JESHI LA WANAMAJI LA URUSI

0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Urusi, Vladimir Putin wakati alipohudhuri  gwaride la Jeshi la Wanamaji la nchi hiyo lililofanyika St. Petersburg...

KINANA AFURAHISHWA MIKAKATI YA KUWAINUA, KILIMO WAKULIMA.

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesema kutokana na umuhimu wa sekta ya kilimo na mchango yake katika maendeleo ya nchi,...