Thursday, May 7, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WATAKIWA KUSOMA TAREEH ILI KUJUA HISTORIA YA DINI YAO.

0
TANGA - Waumini wa dini ya Kiislamu kote  dunuani  wameaswa kujenga mazoea ya kusoma na kuchambua matukio ya tareekh ili kuweza kujua historia ya...

RC KINDAMBA: NIMEFURAHISHWA NA UWEKEZAJI WA STEM PARK

0
Na Boniface Gideon, TANGA Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba ameonesha kufurahishwa na uwekezaji mkubwa wa Kituo Cha Sayansi mkoani Tanga Cha STEM PARK...

ASKOFU DAO: MABADILIKO YATUFANYE KUINUKA KIUCHUMI NA KUFANYA IBADA

0
Na Shomari Binda-Musoma ASKOFU Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC) maarufu Bonde la Baraka,Daniel Ouma,amesema ni muhimu kufanya mabadiliko ili kujiinua...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA URUSI

0
*Awahakikishia mazingira rafiki kwa mitaji yao WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na wawekezaji kutoka kampuni nne za Urusi zenye nia ya kuwekeza nchini katika nyanja...

KINANA AWATULIZA WANANCHI UFUMBUZI BEI YA PAMBA, TEMBO KUVAMIA MAKAZI YA WATU.

0
Na Mwandishi Wetu, Itilima MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amewaeleza wananchi wa Itilima jinsi serikali itakavyotatua changamoto ya bei...

Mbaroni kwa tuhuma za kughushi vyeti vya leseni ya Udereva

0
JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano wanaotuhumiwa kujihusisha na makosa ya kughushi vyeti vya udereva pamoja na wizi wa mitandaoni. Kamanda wa...

WADAU WAKUTANA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA TANGA YETU

0
Na Boniface Gideon, TANGA WADAU wa Maendeleo Jiji la Tanga Leo wamekutana kwaajili ya kutathmini utekerezaji wa Miradi ya Tanga Yetu ambayo inaendelea kutekerezwa na...

Tani 13 za dawa za kulevya zakamatwa na watuhumiwa 4983 hapa Nchini

0
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Dar es salaam. Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya hapa Nchini limefanikiwa...

Vikundi vya mchakamchaka vyatakiwa kuzingatia Sheria za Usalama barabarani

0
VIKUNDI vya mazoezi ya mchakamchaka Jijini Mwanza wamepatiwa elimu ya usalama barabarani ili kuwawezesha kufahamu mambo wanayotakiwa kuzingatia nyakati watumiapo njia hizo. Kamanda wa Polisi...

PROF MKENDA: MAKTABA TATU NCHI NZIMA HAZIKIDHI MAHITAJI KWA WASOMAJI

0
Na Magrethy Katengu Bodi ya Maktaba imeshauriwa kushirikiana na halmashauri, mashule na Tamisemi kuanzisha Maktaba za jumuia kwani 3 zilizopo nchi nzima hadhikidhi mahitaji ya...