Home 2023
Yearly Archives: 2023
NAIBU WAZIRI MASANJA AHAMASISHA WANANCHI KUPANDA MITI ILI KUTUNZA MAZINGIRA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja amewahimiza wananchi kuwa wahifadhi mazingira...
MWENYEKITI UWT TAIFA CHATANDA AWATAKA VIONGOZI WA UWT KUSIMAMIA VIZURI FEDHA ZA MIRADI YA...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda amewataka viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania kusimamia vizuri fedha za miradi ya maendeleo...
MTEMVU: SIMAMENI NA KUIELEZEA MIRADI ILIYOTEKELEZWA NA SERIKALI.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ABAS MTEMVU amewataka wanachama wa CCM kusimama na kuelezea miradi iliyotekelezwa na serikali katika...
BASHUNGWA AITAKA JUMUIYA YA WAZAZI KUTEKELEZA WAJIBU WAO WA MALEZI KWA VIJANA.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa na waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) amewaagiza jumuiya ya wazazi...
CHONGOLO: DHAMIRA YA CCM NI KUTAFUTA SULUHU YA CHANGAMOTO ZA WANANCHI
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Daniel Chongolo amesema Dhamira ya Chama hicho ni kuendelea kutafuta Suluhu ya Changamoto mbalimbali zinazowakabili Wananchi kwenye...
RC CHALAMILA AKABIDHI PIKIPIKI 342 KWA MAAFISA KILIMO, ATOA MAAGIZO MUHIMU KWA WAKURUGENZI
Na Theophilida Felician Kagera.
Mkuu wa Mkoa Kagera Mhe Albert Chalamila amekabidhi jumla ya pikipiki 342 zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni moja kwa...
MSHINDI WA KAMPENI YA “NDINGA LA KISHUA” KUTOKA KAHAMA, AKABIDHIWA GARI LAKE
• Washindi wengine akiwemo wa Mil.20 na Mil.10 wakabidhiwa fedha zao
• Jumla ya shilingi milioni 114 zimetolewa pamoja na gari 1 aina ya...
TAASISI YA HAKIELIMU YATOA MAPENDEKEZO KWA SERIKALI ILI KUIMARISHA SHERIA YA MTOTO
Na Magreth Mbinga
Taasisi ya HakiElimu imeiomba Serikali ipitie upya sheria ,kanuni na miongozo kufuta vipengele vinavyo ruhusu matumizi ya adhabu ya viboko shuleni .
Hayo...
MUDY PESA AMTANGAZIA VITA MANCHUGA PAMBANO LA KILL BOXING TOUR
BONDIA wa Ngumi za kulipwa nchini Tanzania Mudy Pesa maarufu kama "Misumari ya zege" Amchimba Mkwala Mzito Mpinzani wake Aman Bariki Kutoka Gym Ya...
WAZIRI SIMBACHAWENE: IMARISHENI MIFUMO WA USHUGHULIKIAJI WA MATUKIO YA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA...
Na.MWANDISHI WETU
Serikali yahimiza jamii kuanzia ngazi ya familia kuimarisha mfumo wa ushughulikiaji wa matukio ya ukatili dhidi ya watoto ndani na nje ya shule...
















