Home 2023
Yearly Archives: 2023
CCM MAGU YAITIMISHA MAADHIMISHO YA MIAKA 46.
CCM Wilaya ya Magu mkoani Mwanza imeishukuru serikali ya awamu ya sita ya inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kutoa kiasi cha sh. bilioni...
SONGORO MARINE YAONDOA CHANGAMOTO YA USAFIRI GOZIBA
Wakazi wa Kisiwa cha Goziba kilichopo wilaya ya Muleba mkoani Kagera wameondokana na adha ya usafiri wa majini baada ya wadau wa usafirishaji kampuni...
WANAFUNZI WAWILI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA
Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata wanafunzi wawili wa chuo cha Taasisi ya Maendeleo ya...
WAFANYABIASHARA WAOMBA KUBORESHEWA MAZINGIRA YA KUFANYIA BIASHARA
Wafanyabiashara wa nyanya na mbogamboga katika soko la Mirongo jijini Mwanza wameiomba serikali kuwaboreshea eneo lao la biashara ili kuwanusuru kuungua na jua na...
MAENDELEO BANK YAPATA FAIDA ZAIDI YA MARA MBILI IKILINGANISHWA NA MWAKA 2021
Na Magrethy Katengu
Benki ya Maendeleo Plc imepata faida ya shilingi Bilioni 1.3122 mwaka 2022 ukilinganisha na faida ya shilingi milioni 587 mwaka 2021 ambapo...
NAIBU WAZIRI MASANJA ALAANI VITENDO VYA UHARIBIFU WA MAZINGIRA KATIKA SHAMBA LA MITI BUHINDI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amelaani vitendo vya uharibifu wa mazingira vinavyofanywa...
KIGAHE: WAKUU WA MIKOA NA WILAYA KOTE NCHINI KUHAKIKISHA WANAKUWA WALEZI WA JUMUHIYA ZA...
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ametoa wito kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kote nchini kuhakikisha wanakuwa Walezi...
WANANCHI TANGA WALALAMIKIA MKANDARASI XUANYI KUVAMIA CHANZO CHA MAJI MTO AMBONI
Na Boniface Gideon, TANGA
Wananchi wa Mtaa wa Kongwa Kata ya Mzizima katika Halmashauri ya Jiji la Tanga mwishoni mwa Wiki wamemlalamikia mwekezaji wa Xuanyi...
TWIGA CORPORATION YAIELEZA KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI MAFANIKIO YA UBIA WAKE...
Fedha zilizotumika nchini kutokana na mauzo ya dhahabu zafikia shilingi Trilioni 5.6
Wajumbe wa Kamati wapongeza matokeo chanya ya ubia, yashauri maboresho
Kampuni yaanisha mpango wa...
WANAFUNZI WAWILI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA
Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata wanafunzi wawili wa chuo cha Taasisi ya Maendeleo ya...















