Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023

Yearly Archives: 2023

MKOA, GEITA, MAADHIMISHO

MKOA WA GEITA WAZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 46 YA CCM

0
Dkt. Biteko awataka wanachama kutangaza mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Ashiriki ujenzi wa Ofisi za CCM Bukombe Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo...
MWANZA, AFYA, MAMA

RAS MWANZA AHIMIZA ULINZI WA AFYA YA MAMA NA Mtoto KUWA ENDELEVU

0
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Balandya Elikana amewataka watendaji wa Afya kuhakikisha wanalinda afya ya mama na mtoto kwa kusimamia vifaa vya kujifungulia...

NAIBU KATIBU MKUU MADINI ASISITIZA KASI YA UJENZI WA JENGO JIPYA LA WIZARA MTUMBA

0
#Jengo jipya la Wizara ya Madini, Mji wa Serikali Mtumba wafikia asilimia 58.59 #Ampongeza Rais Dkt. Samia kwa kutoa fedha ukamilishaji miradi #Wafanyakazi kupata mazingira bora...
MAHAKAMA KUU, KANDA, MWANZA

MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA YAHITIMISHA WIKI YA SHERIA

0
Mahakama kuu ya Kanda ya Mwanza imeadhimisha maadhimisho ya kilele cha wiki na siku ya sheria mwaka 2023 yenye kauli mbiu isemayo; Umuhimu wa...
WAFANYAKAZI, MISHAHARA, MIEZI

WAFANYAKAZI WALALAMIKIA MISHAHARA YA MIEZI SITA

0
Wafanyakazi zaidi ya 70 wanaofagia barabara mbalimbali za jiji la Mwanza wamelalamikia malimbikizo ya mishahara yao ya miezi sita na kuomba serikali kuingilia kati...
SERIKALI, MIKAKATI, WANAFUNZI

SERIKALI YAELEZA BAADHI YA MIKAKATI KUZUIA MDONDOKO WA WANAFUNZI

0
Akijibu swali la Mbunge wa Viti maaluum Bungeni Mhe. Hawa Mchafu Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Tenolojia Mhe. Omari Kipanga amesema mikakati ya...
TUKUTANE DAR, BURUDANI, SANAA

SHAMRASHAMRA BURUDANI WIKI YA SANAA TUKUTANE DAR FEBRUAR 1-5

0
Na Magrethy Katengu Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Kwa kushirikiana na taasisi ya Nafasi Arts Space wamejipanga kuhakikisha kutoa burudani kwa Watanzania katika wiki...
KATAMBI, SERIKALI, IMEANZA

KATAMBI: SERIKALI IMEANZA KUFANYIA KAZI MABORESHO YA MISHAHARA VYUO VIKUU

0
SERIKALI imeanza kufanyia kazi suala la maboresho ya mishahara kwenye vyuo vikuu kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Naibu...
MAKAMU, RAIS, KONGAMANO

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAASKOFU KUKABILIANA NA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania imejitolea kuzuia na kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji...
ASASI, KIRAIA, KUSHIRIKIANA

ASASI ZA KIRAIA ZAASWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUSHIRIKISHA JAMII KATIKA UIMARISHASHI WA HUDUMA BORA...

0
Na.Faustine Gimu,Elimu ya Afya kwa Umma,Wizara ya Afya ,Sengerema Mwanza.  Rai  imetolewa kwa Asasi za Kiraia  zinazotekeleza Miradi ya afya katika Mkoa wa Mwanza na...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA