Home 2023
Yearly Archives: 2023
JESHI LA POLISI LAWAHASA WATENDAJI WA KATA KUWATUMIA ASKARI KATA KUKOMESHA VITENDO VYA UNYANYASJI...
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- KILIMANJARO
Jeshi la Polisi limesema kuwa lilianzisha mkakati wa Polisi kata likiwa na dhamira ya kushirikiana na watendaji wa...
MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KAKANJA WILAYA KYERWA ALIYE WACHAPA VIBOKO KIKATILI WANAFUNZI ASIMAMISHWA...
Na Theophilida Felician Kagera.
Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kakanja iliyopo kata ya Kakanja wilaya Kyerwa Mkoani Kagera amesimamishwa kazi akituhumiwa kuhusika na tukio...
FINALI ZA BSS MUBASHARA NDANI YA ST SWAHILI 4 FEB
Fainali ya msimu wa 13 wa Shindano la Startimes Bongo Star Search (BSS) zinatarajiwa kufanyika Februari 4, 2023 huku mshindi akitarajiwa kuondoka na kiasi cha...
MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI MWAKA HUU KITAIFA KUFANYIKA MKOANI MWANZA
Kuelekea wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani Mwaka huu kitaifa yanatarajiwa kufanyika Mkoani Mwanza huku ikiwa na kauli mbiu inayosema; Tanzania bila ajali inawezeka...
WAFANYABIASHARA WAMESHAURIWA KUHAKIKISHA WANATUMIA FURSA
Wafanyabiashara wameshauriwa kuhakikisha wanatumia fursa ya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi nane za majaribio za kuuza bidhaa chini ya Mkataba wa Eneo Huru la...
MABALOZI WA NCHI ZA UMOJA WA ULAYA WATEMBELEA MIRADI MWANZA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Adam Malima amepokea ugeni wa WaheshimiwaMabalozi wa Nchi za Umoja wa Ulaya waliowasili Mkoani humo kwa ajili ya kutembelea...
RAIS SAMIA ATENGUA VIONGOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa Viongozi mbalimbali katika nafasi zao leo tarehe 24/01/2023 ambapo...
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA WIZARA YA UTAMADUNI KWA MAGEUZI YENYE TIJA
Na Shamimu Nyaki
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma, na Maendeleo ya Jamii inayoongozwa na Mwenyekiti Stanslaus Nyongo ambaye ni Mbunge wa Maswa Mashariki,...
TBS WAFANYA MKUTANO HUU MKUBWA NA WAUZAJI , WAINGIZAJI NA WASAMBAZAJI WA BIDHAA ZA...
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania ( TBS ) Dkt. Candida Shirima akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Maalum na Wadau ambao ni Wazalishaji...
VIONGOZI WA CCM KUANZIA NGAZI YA SHINA WASHAURIWA KUSHIRIKIANA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Na Magrethy Katengu
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala Said Sidde amewashauri Viongozi wa Jimbo la Ukonga kuanzia ngazi ya Shina ikiwemo...















