Home 2023
Yearly Archives: 2023
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO MATANO KUKITANGAZA KISWAHILI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka waandishi wa habari na wadau wote wa Kiswahili waweke mkakati wa pamoja wa kuitangaza lugha hiyo nje ya nchi.
Mbali...
TAKA ZA VIFAA VYA KIELETRONIKI ZAZIDI KUONGEZEKA NA KUWA TATIZO KIMAZINGIRA
Na Magrethy Katengu
Licha ya kuwepo na Udhibiti wa takataka Ili kupunguza uharibifu wa mazingira imeelezwa kuwa Wimbi wa taka zinazotokana na matumizi ya Teknolojia...
WANAOUGUZA WAGONJWA WA TB HATARINI KUUGUA WASIPOPATA KINGA
NA Magrethy Katengu
Imeelezwa kuwa mgonjwa mmoja wa Kifua kikuu akiwa hajaanza matibabu ana uwezo wa kuambukiza watu kati ya 10-20 kwa mwaka kwa hivyo...
RAIS SAMIA AIFUNGUA TANZANIA BARABARA YA UTETE – NYAMWAGE
Na John Mapepele
Wakati leo Rais wa Jamhuri ya Muungano amepongezwa na Wanawake nchini kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) historia imeandikwa kwa Serikali yake...
TMA YATOA UTABIRI WA HALI YA HEWA SAA 24 ZIJAZO
Na Magrethy Katengu.
TMA imetoa utabiri unaoonyesha Upepo wa Pwani unaotarajiwa kuvuma kwa kiasi cha Km 20 Kwa saa Pwani yote ya Kusini.
Hali ya Bahari...
KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA MIRADI YA UJENZI WA OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA...
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria imeonesha kuridhishwa na hatua ya ujenzi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA KATIBA NA SHERIA, YATEMBELEA MIRADI YA UJENZI...
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria imeonesha kuridhishwa na hatua ya ujenzi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa...
WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI KULETA MAENDELEO
Na Magreth Mbinga
Wananchi wa Mtaa wa Ali Hassan Mwinyi wametakiwa kutoa ushirikiano kwa viongozi wao wa Mtaa na Kata na kufika ofisini endapo watapata...
NENDENI MKASIMAMIE AJENDA ZA KITAIFA – MAJALIWA
Awataka Ma-DC wafuate maono ya Rais Samia Suluhu Hassan
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Wilaya nchini wakasimamie ajenda za kitaifa ikiwemo ya mapambano...
FITI YATAKIWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZA MAZAO YA MISITU ILI KUPUNGUZA UAGIZAJI BIDHAA...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imekiagiza Chuo cha Viwanda vya Mazao ya Misitu (FITI) kuunda kitengo cha uongezaji thamani...















